Tarehe 8 mwezi huu ndio itaamua icho unachodai, Trump amekuwa impeached sasa tarehe hiyo ana kesi ya kujibu, kama wale wajumbe watakubaliana kile alichokifanya kuhimiza wafusi wake kuvamia bunge, Trump sio tu kunyimwa siri lakini hatoshiriki shughuli zozote kisiasaBiden Yuko serikali kwa miaka 30+, sema Kama sheria inawataka marais wastaafu wapewe siri basi lazima na Trump atapewa kwa sababu katiba unataka hivyo, usipofanya hivyo utavunja katiba, utabidi upeleke shairi mahakamani ndipo mahakama iamuru kuwa Trump asipewe hizo taarifa.
Biden ni mgomvi Sana maana alianza kuomba siri za jeshi la Marekani hata kabla hajaapishwa kitu ambacho hakikuwa sahihi