Trump kutopewa taarifa nyeti za Marekani ambazo hutolewa kwa Marais wastaafu

4 yrs to beat 40+ years...u can argue wth my ancestors now.,i cant no more🙌🏽
70yrs as a top leader? Hata passwords/token/memento or unaweza kuita keepsake za ku fyatulia nuclear hakuwahi kukabidhiwa ila mwenzake trump 4yrs alikuwa na access hiyo. Kuna siri kuu zaidi ya hizo?
 
Trump wanted to stand as a real president -- something that the previous corrupt system could not allow it further.

Trump was a president not for U.S.A. but for himself and his family. He has duped ignorant Americans that he has not started a foreign war during his tenure but the truth is ,he has killed hundreds of people by arming the Saudis who are on a killing spree in Yemen!! He has made a ton of money for himself and his family selling arms to Saudi Arabia and The United Arab Emirates.

He lied to the Americans that he would build the wall in the south and the Mexicans would pay for it, in the end the Americans themselves have ended paying for the partial fence that he has built by diverting funds from the pentagon.!! He was a serial liar.
 
Hata rais wetu ajaye atasaini hati nyingi sana kuondoa maamuzi na sheria za kibabe zilipitishwa na huyu wa sasa
 
Mie naona kwa sasa Trump ndie mwenye siri nyingi na nzito kuhusu Marekani kuliko Beden.
Kosa la Trump ni kutobkuremba issue au kuwekeza kwenye propaganda
Sasa biden kaingia juzi atakua na siri zipi? In no time atajua zote maana yeye ni rais.

Kosa la trump ni kiburi.. mdomo.. propaganda hasi.
 
JB is just a single largest epitome of a real, blatant puppet in the entire world -- he must be told what to do, how, when, where. His brain does not have to work or exercise his free will anymore. Trump wanted to stand as a real president -- something that the previous corrupt system could not allow it further.
where is the evidence the JB is blalant puppet?

America doesnt care if you have horns on the forehead, they dont care if you got one limb. they dont care if you are blue. if you have qualifications you you be voted to the president.

no body care what trump stand for.. they way he lead is how he got voted out.
 
Sleepy Joe atambwela Mbwela Weee Na kulia lia kila wakati kama mjane alieachwa kuja kushituka Miaka 4 imeisha...Tunamuangalia tu Sleepy Joe anajua kabisa Mwamba Trump Kupewa Taarifa ni takwa la kikatiba wala sio uwezo wake mbona asimuondolee ulinzi sasa Kule Kuna Taasisi sio kama huku amri ya mtu mmoja inafanya kazi.

Mtu anaambiwa hapa hapana hata kama ni Rais.

kilichomtoa Trump ni system haikumtaka hajaenda vitani wapige deal...wanajua kwa kura alishinda.
kilichomtoa trump sio kwenda vitani. msipotoshe hapa.
trump amezingua kwenye issue mbili kuu. kukabiliana na corona..
hapa alionywa before hata gonjwa halijafika.. akaishia kudharau. badala ya kuchukua hatuabakawa anawarushia maneno machafu china.
gonjwa limefika.. watu wanakufa kwa speed ya 4G.. anaruka ruka wkt its too late. na hapa raia wa america ndio walipoanza kuona ni kihio.

sera zake za nje nazo zimechangia kuonekana ni kiazi. na hii fukuza fukuza ya watu muhimu serikalini. kila asiendana nae toa.

in short ame screw up mwenyewe.
 
70yrs as a top leader? Hata passwords/token/memento or unaweza kuita keepsake za ku fyatulia nuclear hakuwahi kukabidhiwa ila mwenzake trump 4yrs alikuwa na access hiyo. Kuna siri kuu zaidi ya hizo?
rais anapo apishwa hubadilishwa na kukubidhiwa mara tu anapoingia white house.
unadhani biden hazifahamu?
He is the president now ana access na kila kitu.
 
Kumbuka JB amekuwa makamu wa rais kwa miaka nane na pia amekaa kwenye siasa kwa miaka 40
Mkuu kukaa kwa miaka nane kwenye siasa au serikalini hakukupi fursa ya kujua siri kuu zote.Mzee Trump amepata fursa ya kujua siri kuu zote katika miaka minne tu aliyotumikia ngazi ya urais.
 
rais anapo apishwa hubadilishwa na kukubidhiwa mara tu anapoingia white house.
unadhani biden hazifahamu?
He is the president now ana access na kila kitu.
Nadhan hujaelewa hakuna anaepinga hilo sisi tunazungumzia kujua siri za serikali kwa miaka 70 ukiwa sio raisi na kujua siri za serikali ukiwa raisi kwa miaka minne. Unataka kusema biden anamzid trump kujua siri hizo?
 
Biden Yuko serikali kwa miaka 30+, sema Kama sheria inawataka marais wastaafu wapewe siri basi lazima na Trump atapewa kwa sababu katiba unataka hivyo, usipofanya hivyo utavunja katiba, utabidi upeleke shairi mahakamani ndipo mahakama iamuru kuwa Trump asipewe hizo taarifa...
Hapa unatupiga kamba , sheria inataka president elect apewe hizo briefings kama Rais aliyepo madarakani.

Biden amekua Makamu wa Rais kwa miaka nane hivyo anafahamu pia mengi.
 
Back
Top Bottom