Trump huyu kiboko

This is comedy
 
USA yenyewe haipo ICC,
Kwanini wengine wawepo wakati nchi yake haipo?
 
USA yenyewe haipo ICC,
Kwanini wengine wawepo wakati nchi yake haipo?
Kwa nini viongozi wenu walisaini mkataba wa Roma huku wakijua Us Urusi China hawahasaini? Ndio maana Africa must be recolonized
 
Umeingizwa chaka mkuu, Trump hajasema hayo, ila hayo maneno yana reflect ukweli wa miafrika jinsi tulivyo.
Usiwe unaangalia Chanel 10 tu angalia pia CNN ABC AL JAZEERA SKY NEWS nk
 
Msijifanye wajuaji. Hakuna kitu kama hicho.
 
Nawaza kama hilo hilo swali angeulizwa raisi wa nchi flani. Angesema SUBIRINI MUONE NINAVYOWANYOOSHA.
 
Hao wengine ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa.

Yaani hata uwaeleze vipi, wenzio hawaelewi.

Ili mradi huo uzushi umeandikwa kwa Kiingereza na anayezushiwa ni Trump basi wenzio wataamini tu.

Naishi Marekani zaidi ya miaka 20 sasa na najua jinsi mainstream media ya Marekani inavyofanya kazi.

Na nadhani hata wewe unajua kabisa kuwa hakuna chombo chochote kile cha habari ambacho ni maanani, si Marekani wala kwingineko duniani, ambacho kimeripoti huo uzushi.

Sasa hawa wenzetu humu kusema ukweli akili zao lazima zina hitilafu fulani.

Hawawezi kuwa wazima hata kidogo.

Kwanza ukiisoma tu hiyo habari kama una hata chembe ya akili lazima utaitilia shaka tu.

Ila wanasema akili ni nywele na kila mtu ana zake.
 
Siku zote msema kweli huwa anachukiwa hasa huyo ndo msema kweli na mbabe
 
Nimewahi aminishwa kuwa JF ni home of great thinkers, LAKINI NILICHOKIONA KWENYE COMMENTS ZA LEO NIMEGUNDUA NILIKOSEA,KUNA WAJINGA WENGI KULIKO FACEBOOK.Kuna mtu yoyote hapa anaweza thibitisha kuwa Trump kasema huo ujinga? Magreat thinkers mnatiririka tu na kuonesha ujinga wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…