Kakende
JF-Expert Member
- Aug 18, 2012
- 2,741
- 1,231
Nimesikiliza hutuba ya Trump jana, katika ile hotuba amesema hii jamii ya waislam wa itkadi kali ambayo imewafanya wanawake kuwa watumwa, inayoua wakristo na wayahudi. Haina nafasi Marekani. Ameahidi kuwaondoa mara moja akiwa Rais
Katika hotuba ile, bila shaka aliposema kuwa jamii inayowafanya wanawake watumwa alimaanisha nchi za Kiisilam ambazo kwa ujumla mwanamke hana uhuru. Mfano Saudi Arabia mwanamke anafungiwa ndani kama mtumwa. Kwenda hata sokoni ni nadra, akienda ana escort. Hii haina tofauti na wale watumwa wa kiafrica ambao muda wote walikuwa wakifungiwa ndani, akitoka nje amepelekwa shambani
Tazama hii