Kwamaoni yangu lakini
Kuhusiana na suala lajamaaa kurudi ama kutorudi hili suala nahisi uachwe muda oongee sababu haujawahi kudanganya
Kuhusiana nahaya maandamano kudumu mpaka wakati wauchaguzi ningumu sana japokua inawezekana ila ningumu sana
Kuhusiana nahaya maandamano yamepoteza mkondo wake kutoka maandamano yaliohusisha mauaji yakibaguzi ya floyd mpaka kuwa mambo yakisiasa
Hitimisho:-kwaupande wangu hua sipendi chama chochote cha US sababu najua wote ni same same but different ila kutokana na namna jamaa alivyoiendesha US mara yakwanza napenda jamaa aendelee kutawala ili azidi kuwavuruga zaidi pia natamani maandamano yadumu mpaka baada yahuo UCHAFUZI MKUU[emoji4]