Trump atua Davos

Trump atua Davos

VP MATAJIRI WA MAHABA TUNARUHUSIWA KUHUDHURIA TUPO WENGI HUKU
 
Sina hakika kama anakunbuka makelele yenu ya juzi kati hapa. So focused; pigeni kelele weeee hamtomtoa kwenye malengo yake.
 
Trump na yeye ana tabia za kulala wazo?? Au ni yule tu wa kwenye Shithole??
 
Jamaa limepiga speech moja matata sana,world leaders wamemwelewa sana kwenye suala la fair trade deals.Zile deals kama za wachina za kucheza rafu jamaa amesema wazi hatozi entertain kabisa.
"America first its doesn't mean America alone". D.T,Davos.
 
Putin simuoni huku Davos,au yuko bize na mipango ya kushinda uchaguzi?...
 
Back
Top Bottom