Trump atua Davos

Trump atua Davos

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,298
Reaction score
47,337
Kiranja wa Dunia Licha ya mapungufu yake anamweka Mungu mbele kwa kusali kabla hajafanya chochote. Si mwengine Ni Trump katua Davos Uswis Hadi Hali ya hewa ikabadilika mwanaume ambaye so mnafik katinga kwa ma world elite.

Kunajamaa Haki ya Nani nitamchongea kwa Trump rambirambi zetu
Screenshot_20180125-170936.png
Screenshot_20180125-170936.png
Screenshot_20180125-170958.png
Screenshot_20180125-171209.png
 
Jamaa gani "kabonya" rambirambi zenu?
 
Dah huyu mmatumbi anatuwakilisha vema wabongo kasimama wima kweli kweli

Cheseyaya weyee kiranja wadunia

Screenshot_20180125-172800.png
 
ndio maanaa kila siku mnatukanwa matatizo yenu mnategemea mtu mwingine awatatulie
acha tutkanwe tuu Kama mtu mlafi anaiba rambirambi Licha ya kujimilikishia nyumba za serikali meli mbovu mshahara mnoni Hadi anakufa haki ya Nani kwa hili najivunia Trump kututukana

Mwanaume katua Davos Maamae

4892D1F300000578-0-image-a-7_1516890397360.jpg
 
Non-stop DC to Zurich 6658.78km wanakutana matajiri wa dunia. Masikio yote Trump atatema madini gani jamaa.
 
Back
Top Bottom