Trump aonya Iran dhidi ya kushambulia Marekani kwa namna yoyote ile

The Zanzibar Echo

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2025
Posts
490
Reaction score
836
Rais Donald Trump amesema Marekani haihusiki katika vita vinavyoendelea kati ya Israel na Iran.

"Marekani haikuwa na uhusiano wowote na shambulio dhidi ya Iran, usiku wa leo," Trump amesema katika chapisho kwenye jukwaa lake la Truth Social platform.

Iran imeionya Marekani na washirika wake kutoisaidia Israel kuzuia mashambulizi yake ya kulipiza kisasi.

"Ikiwa tutashambuliwa kwa namna yoyote na Iran, mutakabiliana na nguvu kamili na nguvu ya wanajeshi wa Marekani katika viwango ambavyo havijawahi kuonekana," Trump ameongeza. "Hata hivyo, tunaweza kufikia makubaliano kwa urahisi kati ya Iran na Israel, na kumaliza mzozo huu wa umwagaji damu
 
Us hawezi fabya kitu bwana Putin kaweka macho apo
 
Putin anayejinyea Kwa Ukraine miaka 4 mpaka kuazima askari Korea au🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mmeo US kasha waambia russia ajqtumiq hata 15% ya nguvu zake ila mnakaza fuvu
 
Iran alichelewa kupigwa, na kumpiga sasa sio rahisi. Akiona anaelekea kushindwa ataangamiza vinu vya nuclear vilivyopo Israel jambo ambalo ni hatari kwa waisrael.
Eti atalipua vinu vya nuclear kwahiyo yeye vya kwake Israel hawezi kulipua🤣🤣🤣🤣
 
Us hawezi fabya kitu bwana Putin kaweka macho apo

Usidanganyike. Marekani haiwezi kuanza kuishambjlia Iran, ila Iran ikijichanganya tu ikaishambulia Marekani, lazima Marekani itaishambulia Iran kwa nguvu zote.
 
Back
Top Bottom