Hamna wakumshtaki dt tena anatakiwa akaze kwel kwel mpaka kielewekeeeee.Trump atashtakiwa kwasababu hata maseneta wa republican wamelaani kitendo chake
Tutawafata huko huko aseeeeMakamu wa rais mike pence
Spika Nancy pelosi
Makamu wa rais mtr Kamala Harris
Wamepelekwa sehemu salama chini ya handaki la barabara inayopita chini kwa chini kutoka capitol Hill mpaka safe houses za usalama.
mh, ila hili la pentagon kukataa halina maana ya kuwa pamoja na trump hili?Mamlaka za Washington zimeomba msaada Pentagon na Pentagon imekataa
Trump anapiteza muda wake tarehe 20 Biden na Kamala wanaapishwaMakamu wa rais mike pence
Spika Nancy pelosi
Makamu wa rais mtr Kamala Harris
Wamepelekwa sehemu salama chini ya handaki la barabara inayopita chini kwa chini kutoka capitol Hill mpaka safe houses za usalama.
Hilo sio dirisha ni stage ambayo ilishajengwa kwaajili ya kumuapisha rais Joe Biden tarehe 20/1/2021 kumbuka ataapishiwa hapohapo kama taarifa za intel community za USA zitaruhusu.Naona wanajeshi wamebomoa dirisha na kuingia ndani
mh, ila hili la pentagon kukataa halina maana ya kuwa pamoja na trump hili?
ahahah ahsante kwa masahihisho mkuu mimi hata sielewi chochote naona maluwe luwe tuHilo sio dirisha ni stage ambayo ilishajengwa kwaajili ya kumuapisha rais Joe Biden tarehe 20/1/2021 kumbuka ataapishiwa hapohapo kama taarifa za intel community za USA zitaruhusu.
arab spring ilianza kama hv...Mwanamke mmoja amepigwa risasi na Hali yake iko critical
Itapendeza huu Moto uende kwa museven halafu...........