Trump anatengeneza mgogoro wa kikatiba awataka wafuasi wake kuvamia Bunge

Trump amemtaka makamu wa rais mike pence kutocertify ushindi wa Joe Biden.

Pia amewataka wafuasi wake kuvamia bunge na wamefanya hivyo sasahivi.

Waandamanaji wamevuka utepe wa polisi kuingia jengo la capital Hill.
nadhani yule anahtajika kupelekwa jera au sehemu afungiwe kwanza nadhani itasaidia kama nchi kufanya mengne ya msingi
 
trump ni kama chizi Fulani hivi ,bangi zimemkorea mpaka anachizika tena ndo trump..amekosa weredi,heshima,usatharabu na mengne mengi tu
 
Back
Top Bottom