Trump anatengeneza mgogoro wa kikatiba awataka wafuasi wake kuvamia Bunge

Makamu wa rais mike pence
Spika Nancy pelosi
Makamu wa rais mtr Kamala Harris

Wamepelekwa sehemu salama chini ya handaki la barabara inayopita chini kwa chini kutoka capitol Hill mpaka safe houses za usalama.
Trump anapiteza muda wake tarehe 20 Biden na Kamala wanaapishwa
 
Naona wanajeshi wamebomoa dirisha na kuingia ndani
Hilo sio dirisha ni stage ambayo ilishajengwa kwaajili ya kumuapisha rais Joe Biden tarehe 20/1/2021 kumbuka ataapishiwa hapohapo kama taarifa za intel community za USA zitaruhusu.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom