ApolloShadow
JF-Expert Member
- Jul 19, 2025
- 925
- 1,961
labda youpo heat 😎Yaani mara atoe vitisho ghafla yeye huyo huyo Anahangaika kutafuta suluhisho
labda youpo heat 😎Yaani mara atoe vitisho ghafla yeye huyo huyo Anahangaika kutafuta suluhisho
Well said, na siku hiyo INAKUJA mkuu.Huyu trump kachanganyikiwa,Tangu nione alivyomgeukia Elon musk aliyempambania sana arudi madarakani,nikamuona ni chizi kabisaaa.
Anataka vita vikwamishwe na Huku anampa silaha Ukraine afanye ugaidi,wao wanataka nchi ya Ukraine itulie waanze kufyonza madini kwa amani kabisaaa.
Yani marekani ni wahuni in general,ni taifa limejengwa kipropaganda na kihuni sana,itafikia siku watu wataliamulia na litafutwa kama mabwanyenye wenzie wa miaka hyo waluofutwa na kubaki historia.
Ibrahim Traore siyo wa kulinganisha na Putin na Ayatollah, yeye siyo muuaji kama Ayatollah na siyo chinja chinja kama Putin.Yaani wakuu tungepata putin watatu kule ulaya na ibrahim Traore watano hapa afrika Ayatollah Ali Khamenei wawili kule middle east hii dunia ingenyooka mithili ya twiga mla majani ya juu ya mti
Brilliant, you have revealed all traits of Mighty Ivan the terrible aka Vlad Putin.Kachero Vladmir Putin is the man. Na hapayuki hovyo. Very calm, cool, collected and very confident
Mendevdev aliwahi kusema Trump hatabiriki kama Monsoon, anaweza kugeuza maneno/makubaliano zaidi ya mara 100 within 24 hours, Medevdev is damned right, Trump is highly unpredictable ie hujui kesho atasema nini baada ya makubaliano.Kachero Vladmir Putin is the man. Na hapayuki hovyo. Very calm, cool, collected and very confident
Ni kweli ila dunia isiombee hao watu siku waje kuunganaWangekuwa na akili waweka vikwazo wangejiona wajinga na kuungana na mrusi kama vile isemwavyo if u can not beat the enermy join &fight along side your enermy
Tuambie wewe unaejua basi na sisi tupate kujua.Ninyi mnazungumza msivyovifahamu.
Pyongyang hujaitaja mkuu.Yaani wakuu tungepata putin watatu kule ulaya na ibrahim Traore watano hapa afrika Ayatollah Ali Khamenei wawili kule middle east hii dunia ingenyooka mithili ya twiga mla majani ya juu ya mti
Halafu anamtuma tena witcof mtu asieyekuwa na recod ya maana kwenye mazungumzo yake mnaomgea nyuma ya pazia wanapanga mipango yao miovuYaani mara atoe vitisho ghafla yeye huyo huyo Anahangaika kutafuta suluhisho