Trump amlima barua ya onyo kali Ayatollah Khamenei!!

Trump amlima barua ya onyo kali Ayatollah Khamenei!!

Mtu kashakimbiza meli huku
1743284804624.jpg
 
Israel ilijibu kwa kuepuka kupiga miundombinu muhimu ya Iran kama visima vya mafuta na vinu vya nuclear, unajua ka sababu gani?
Ulikuwa ni mwanya mzuri kwa Israel kuipiga Iran kwenye miundombinu ya kiuchumi na sites za nuclear kama jinsi wengi ambavyo hamfahamu nini kingewakuta Israel..

Ndio maana waajemi walikausha, hapo penyewe Israel ilikuwa imeshashambuliwa mara mbili..
Kwa hio ukiwa muelewa utaelewa Israel iliepuka vita na Iran..

Kwa miaka mingi Israel ilikuwa ikiwaua wanasayansi wa Iran, Iran wanakausha, kumbuka uvumilivu una mwisho, hivyo Iran wapo macho wakisubiri Israel ijichanganye wapigwe true Promise 3...
Hauwezi kuepuka vita kwa kujibu mapigo hiyo kitu haipo. Kama aliweza kijibu mapigo hapo hakuna kuepuka
 
Hauwezi kuepuka vita kwa kujibu mapigo hiyo kitu haipo. Kama aliweza kijibu mapigo hapo hakuna kuepuka
Kwa sababu true promise one hawakujibu, ya pili wakajitutumua kwa aibu na tahadhari kubwa..
Israel sio kwamba haielewi wa Iran ni wapole, imeua scientists wengi sana wa Iran huku Iran ikitizama, Israel walijibu katika namna ya kuepusha mgogoro zaidi..

Ndio maana tunasemaje wangepiga visima vya mafuta na vinu vya nuclear ndipo ingefahamika je Israel ina huo uwezo wa kijeshi wanaojisifu?
 
Fasihi iliyotumika katika uandishi wa barua hiyo nineipenda!

Ni fasihi bora iliyosheheni lahaja ya kidiplomasia na mamlaka ya wenye nguvu.
Sio kama zile roporopo zilizotoka kinywaji mwake, kwa kasi kama risasi na kumgonga yule mnyonge wake wa Ukreine!.
 
Hauwezi kuepuka vita kwa kujibu mapigo hiyo kitu haipo. Kama aliweza kijibu mapigo hapo hakuna kuepuka
Kitendo cha Israel kujizuia kushambulia miundo mbinu ya mafuta na mitambo ya nuclear ilikuwa ni ishara tosha kwa Iran kuwa Israel ilikuwa imejiepusha na ilikuwa haitaki vita kubwa na Iran.

Mm tangu najitambua ninasikia habari za Israel kutaka kuishambulia mitambo ya nyukiria ya Iran lakini cha ajabu wamepata nafasi zaidi ya mbili ya kupata sababu za kuiharibu mitambo hiyo lakini waufyata.
 
Ugaidi dhidi ya Israeli
SASA Barua yanini tena Tramp alipeleka ya kwanza kama Week imepita IRAN ikasema awajadiliani chini ya mashinikizo!!!!

kupitia Waziri wake wa mambo ya Nnje !

Sasa Tramp katuma Barua nyengine ya pili !!!!! Ndio mjue Wanaiyogopa IRAN lkn apo apo wanataka maongezi nayo wanajua Iran Simu moja tu kwa houth achieni Bahari msipige Israel Tramp ndio anataka ivyo!!!

lilivo Zoba uku yeye anataka Israel iwaswage Wapalestina !!!!

IRAN nayo iliwaambia chagueni kimoja Aman au Vita Tramp na kibalaka wake Israel wakachagua Vita kuisambalatisha PALESTINA wanyonge !!!!!

PUTO leo anajidai anatoa onyo !!!! Onyo kwa IRAN mzee anaumwa yule iyo Iran inajiamini vibaya sana.!!!!

. kilele cha Vita IRAN kinachowaogopesha MAREKANI ni vile IRAN itajibu tukio lolote.. Israel itabaki hai pale ilipo yetu macho....
 
Jana kiongozi wa houthi alisema USA kazingirwa baharini na hatoweza pambana, wakati huohuo times of israel likaripoti kuwaomba Qatar waanzishe mazungumzo na Hamas,leo kuna taarifa za makubaliano ya eid na Trump barua ya mapenzi kwa ayatollah, kuna kitu hakiko sawa kwa mkubwa
Unajitekenya harafu unacheka mwenyewe!!! Wafuga Midevu na Majini akili zenu mnazijua nyinyi wenyewe!! Israel haiwezi kulea Pimbi na mkia wake wala haiwezi kufungwa ujinga huo!!
 
Amani siyo udhaifu, ni chaguo la wenye nguvu.
Kama analijua hilo vizuri na kulitilia maanani, basi athibitishe kwa kuondoa vikwazo, sio kwenye makaratasi anapiga magoti na kunyenyekea halafu anakuja kwenye kipaza sauti anafoka na kuamrisha. Ndio maana tunamtafsiri kama kiongozi mshamba na mwenye hofu.
 
Hivi sasa inawabidi wapitie hadi rasi ya tumaini jema South Africa, njia ambayo ni ndefu sana.. hi inapelekea gharama za uchukuzi kuongezeka, bidhaa kupada bei na kuathiri uchumi.. hata kampuni zinazotoa bima za meli zimepanda kwa kiasi kikubwa...
Rasi ya tumaini jema?!

Aisee! Hili jina la hii rasi kwa Kiswahili ulivyoandika umenikumbusha mbali!

Nililisikia shule ya msingi na baada ya hapo sikulisikia tena kwa lugha ya Kiswahili.
 
Rasi ya tumaini jema?!

Aisee! Hili jina la hii rasi kwa Kiswahili ulivyoandika umenikumbusha mbali!

Nililisikia shule ya msingi na baada ya hapo sikulisikia tena kwa lugha ya Kiswahili.
Cape of good hope..
Kitambo sana mkuu..
 
Unajitekenya harafu unacheka mwenyewe!!! Wafuga Midevu na Majini akili zenu mnazijua nyinyi wenyewe!! Israel haiwezi kulea Pimbi na mkia wake wala haiwezi kufungwa ujinga huo!!
Harafu ni lugha gani
Unajitekenya harafu unacheka mwenyewe!!! Wafuga Midevu na Majini akili zenu mnazijua nyinyi wenyewe!! Israel haiwezi kulea Pimbi na mkia wake wala haiwezi kufungwa ujinga huo!!
 
Kitendo cha Israel kujizuia kushambulia miundo mbinu ya mafuta na mitambo ya nuclear ilikuwa ni ishara tosha kwa Iran kuwa Israel ilikuwa imejiepusha na ilikuwa haitaki vita kubwa na Iran.

Mm tangu najitambua ninasikia habari za Israel kutaka kuishambulia mitambo ya nyukiria ya Iran lakini cha ajabu wamepata nafasi zaidi ya mbili ya kupata sababu za kuiharibu mitambo hiyo lakini waufyata.
Israel is genocidal regim wakipate nafasi huwa hawajali ni kama majamvazi kinachomuuma ni kuwa amekutana na kigingi ukiweka mkono mimi naweka chuma .. siku akipiga irani kwenye hayo maeneo hatakama hakuna madhara nikuhakikishia jamaa wataandaliwa khorm sharlon 4 kama 10000 hivi na zitarushwa pale televiv
 
  • Thanks
Reactions: ITR
Barua ya Trump kwa Khamenei wa Iran:

"Mheshimiwa Ayatullah Khamenei,

Kwa heshima ya nafasi yako na watu wa Iran, ninakuandikia ujumbe huu kwa lengo la kufungua upeo mpya wa mahusiano yetu, mbali na miaka ya migogoro na kutoelewana ambayo tumeshuhudia katika miongo kadhaa iliyopita. Wakati umefika wa kuachana na uadui na kufungua sura mpya yenye msingi wa ushirikiano na kuheshimiana. Leo pia, kuna fursa ya kihistoria mbele yetu.

Marekani, chini ya uongozi wangu, iko tayari kuchukua hatua kubwa kuelekea amani na kupunguza mivutano. Tunaweza kufanya kazi pamoja ili kuondoa vikwazo, kuwezesha uchumi wa Iran, na kufungua milango ya ushirikiano kati ya nchi zetu. Hii sio tu kwa maslahi ya watu wetu, lakini pia kwa maslahi ya utulivu na amani katika Mashariki ya Kati na dunia nzima.

Lakini nakuonya - ikiwa utakataa mkono huu ulionyooshwa, na ikiwa serikali ya Irani itachagua njia ya kuongezeka na kuendelea kuunga mkono mashirika ya kigaidi na matukio ya kijeshi, basi jibu letu litakuwa la kuamua na la haraka. Hatutasalia bila kazi mbele ya vitisho vya serikali yako kwa watu wetu au washirika wetu.

Amani sio udhaifu. Ni chaguo la wenye nguvu. Watu wa Irani ni watu wakubwa wanaostahili maisha bora ya baadaye, mbali na kutengwa, umaskini, na mateso.

Ikiwa uko tayari kujadili, tuko tayari pia. Lakini ikiwa utaendelea kupuuza matakwa ya ulimwengu, historia itarekodi kwamba ulikosa nafasi kubwa sana.

Kwa heshima."

Trump.
Ungesema ameandika barua .. kusema kumlima barua wala haina uzito .. wa ziada kimsing trump hana jipya
 
Wamepita maraisi wengi wa marekani ambao walitoa biti nyingi kwa irani mpaka wakamtumia sadam hussein lakini wakadunda, anachokisema Trump ni marudio maana kama wamemzunguka irani kwa military base nyingi za kijeshi kwanini wasimshambulie maana sanctions zilishafeli kitambo.
Trump anasukumwa na uzayun na wapambe wenzake kama pete hexeseth kuwa bado wananguvu .. ya kulazimisha mambo .. ila hawataki kukubali enzi zao zimeshaapita .. trump akicheza wata utoa hatu huo urais wake kabla ya muda.. wakiaza kununua mafuta dollar 50 kwa gallon lazima wamtafute mchawi ni nani
 
Back
Top Bottom