Trump amlima barua ya onyo kali Ayatollah Khamenei!!

Trump amlima barua ya onyo kali Ayatollah Khamenei!!

Trump kawaandikia barua kupitia Oman Wa Iran wamepata na wao wamesema majadiliano yao ya Nuclear yapitie Oman kama kipindi cha nyuma na pia hawawezi kutoa majibu kwa vitisho vya vita au kingine kwa hiyo wapo tayari kwa majadiliano ila yapitie Oman wao hawahitaji kuongea na USA moja kwa moja kama miongo kadhaa iliyopita..
 
Mi home Narumu-Usari, kwa sasa mishe Moshi town, kama vipi njoo hapa Moshi Pazuri Bar.
 
Ishu hapa ni vukundi vinavyoitwa vya kigaidi vinavyodhaminiwa na iran ambavyo ndio chanzo cha Gaza Lebanon kuchafuliwa kwa mabomu, Iran aache hawezi kuwashinda hawa watu, la sivyo Tehran itachafuliwa like Iraq, atulie aache mihemko hawa watu hawawezi
 
Hapa Kuna mtu ana tafutiwa sababu ya kuchwapwa,akikosa akili za kung'amua kuwa kawekewa mtego akajiingiza kichwakichwa anapelekewa vibinti kwa mara nyingine kumchapa.
 
Ishu hapa ni vukundi vinavyoitwa vya kigaidi vinavyodhaminiwa na iran ambavyo ndio chanzo cha Gaza Lebanon kuchafuliwa kwa mabomu, Iran aache hawezi kuwashinda hawa watu, la sivyo Tehran itachafuliwa like Iraq, atulie aache mihemko hawa watu hawawezi
Usitegemee yaliyotokea Iraq yatatokea Iran, miaka ile siasa za US zilikuwa na ushawishi mkubwa hivi sasa hata baadhi ya nchi za EU hawaizingatii US.. mmeshhudia hata suala la Trump kupandisha tariffs kwa nchi za EU, Canada n.k

CHanzo cha hivi vikundi ni ukandamizaji wa haki za binadamu unaofanywa na US na wenzake..

Trump hana uwezo wowote sasa kuamua vita na Iran, amini nachokuambia hawezi, hata washauri wake watakataa, hakuna nchi yeyote ya kiarabu mashariki ya kati itakubali kutumika kama kambi ya kijeshi.. labda Israel..
 
Wamepita maraisi wengi wa marekani ambao walitoa biti nyingi kwa irani mpaka wakamtumia sadam hussein lakini wakadunda, anachokisema Trump ni marudio maana kama wamemzunguka irani kwa military base nyingi za kijeshi kwanini wasimshambulie maana sanctions zilishafeli kitambo.
 
Back
Top Bottom