RTI
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 2,423
- 7,124
Akili za Trump anazijua mwenyewe baada ya Iraq kuiamuru Marekani kuwaondoa wanajeshi wa Marekani nchini humo kutokana na Marekani kukiuka makubaliano ya uwepo wa wanajeshi hao.
Trump hakuchelewa kujibu kwa vitisho kama kawaida yake amesema Iraq ikitaka Marekani iondoke bila kinyongo basi nchini humo basi ilipe kwanza gharama za vita dhidi ya IS.
Na kulalamika kuwa Iraq imekuwa ikiithamini Irani kuliko Marekani.
Ametishia kuiwekea vikwazo vya kiuchumi iwapo Iraq itaviondoa kwa lazima vikosi vya Marekani nchini humo.
kwa kweli mambo ni mengi muda ni mchache.