Trump ameshaanza kutoa vitisho na mikwara kwa Iraq baada ya kufukuzwa nchini humo

RTI

JF-Expert Member
Dec 20, 2018
2,423
7,123
Akili za Trump anazijua mwenyewe baada ya Iraq kuiamuru Marekani kuwaondoa wanajeshi wa Marekani nchini humo kutokana na Marekani kukiuka makubaliano ya uwepo wa wanajeshi hao.

Trump hakuchelewa kujibu kwa vitisho kama kawaida yake amesema Iraq ikitaka Marekani iondoke bila kinyongo basi nchini humo basi ilipe kwanza gharama za vita dhidi ya IS.

Na kulalamika kuwa Iraq imekuwa ikiithamini Irani kuliko Marekani.

Ametishia kuiwekea vikwazo vya kiuchumi iwapo Iraq itaviondoa kwa lazima vikosi vya Marekani nchini humo.
kwa kweli mambo ni mengi muda ni mchache.
 
Shida binadamu tunapenda kutunishiana misuli
hapo hakuna kutunishiana msuli, muajemi/muarabu hamtunishie msuli marekani? ni Russia tu ambaye anaweza kutunishiana msuli na marekani, sio China wala ulaya. Kipigo watakachopata hao waarabu ,historia haitakisahau watapigwa haraka na kwa muda mfupi.

kosa kubwa walilofanya Iran ni kutaka kupambana na marekani huku ikijiua huyo m-qurd aliyeuawawa ni kiongozi Wa kundi la kigaidi na hapo marekani anachukulia Irani nzima ni wafandhili Wa ugaidi. hapo kitakachofuata narudia tena historia itaandika kwa machozi na damu
 
Wa jinga wengi humu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom