Trump ameshaanza kutoa vitisho na mikwara kwa Iraq baada ya kufukuzwa nchini humo

Mkuu acha kutudanganya ina maana ww unajua sana nguvu walinayo iran au unabwabwaja tu ili siku ipite?
hapo hakuna kutunishiana msuli, muajemi/muarabu hamtunishie msuli marekani? ni Russia tu ambaye anaweza kutunishiana msuli na marekani, sio China wala ulaya. Kipigo watakachopata hao waarabu ,historia haitakisahau watapigwa haraka na kwa muda mfupi.

kosa kubwa walilofanya Iran ni kutaka kupambana na marekani huku ikijiua huyo m-qurd aliyeuawawa ni kiongozi Wa kundi la kigaidi na hapo marekani anachukulia Irani nzima ni wafandhili Wa ugaidi. hapo kitakachofuata narudia tena historia itaandika kwa machozi na damu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni zaidi ya upuuzi kuishabikia vitu vya kipuuzi vinavyofanywa na USA kisa we ni mkristu! Binafsi mi ni mkristu lakini usiku wa jana saa 6 usku, nilipiga goti nikasali baba yetu 3 nikafanya maombi ma5, ombi la 1-3 yalilenga familia yangu, ombi la 4 lilitua kwa Mh Rais Magufuli na ombi la 5 na la mwisho nililiombea taifa la Iran na viongozi wake.
Nitasimama kwenye haki bila kujali dini yangu.
 
Pia usisahau iyeuawa ,wao ndo walimpandikiza atengeneze vikundi ugaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni zaidi ya upuuzi kuishabikia vitu vya kipuuzi vinavyofanywa na USA kisa we ni mkristu! Binafsi mi ni mkristu lakini usiku wa jana saa 6 usku, nilipiga goti nikasali baba yetu 3 nikafanya maombi ma5, ombi la 1-3 yalilenga familia yangu, ombi la 4 lilitua kwa Mh Rais Magufuli na ombi la 5 na la mwisho nililiombea taifa la Iran na viongozi wake.
Nitasimama kwenye haki bila kujali dini yangu.
Hapo kwenye Magufuli basi,umeshaharibu!

Haki ni ipi?
 
Uliwaombea kitu viongozi wa Iran mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la binadamu wachache wanaamini hii ni vita ya dini, wanashabikia nchi kutokana na Imani zao za dini. Mkristo yupo upande wa USA na Muislam yupo upande wa Iran. Poor people, poor minds. Kama Iran ingekuwa rahisi kuivamia kijeshi, kitambo ingeshapigwa. Mambo hayapo kama tunavyofikiri. Sifa kubwa ya watanzania ni kuunderestimate mambo hasa adui, ndio maana hata madeni hatulipi kwa wakati.
Ile ni Iran, ile ni nchi ya Massive weapons.
Kuvamia nchi kama ile kunahitaji hekima na intelligence yakutosha. Tusipoangalia vizuri haya mambo, tutashuhudia Baba akivuliwa nguo na mjukuu.
Kiduku hapigwi why? Jiulize wewe unayeshabikia mambo. Vita ni zaidi ya akili zetu za zero war IQ. Tutulie wakubwa wavuane nguo hadharani, zetu nepi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuuh
hapo hakuna kutunishiana msuli, muajemi/muarabu hamtunishie msuli marekani? ni Russia tu ambaye anaweza kutunishiana msuli na marekani, sio China wala ulaya. Kipigo watakachopata hao waarabu ,historia haitakisahau watapigwa haraka na kwa muda mfupi.

kosa kubwa walilofanya Iran ni kutaka kupambana na marekani huku ikijiua huyo m-qurd aliyeuawawa ni kiongozi Wa kundi la kigaidi na hapo marekani anachukulia Irani nzima ni wafandhili Wa ugaidi. hapo kitakachofuata narudia tena historia itaandika kwa machozi na damu
Mkuu Umekielewa Lakini Ulochokiandika ?!...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni zaidi ya upuuzi kuishabikia vitu vya kipuuzi vinavyofanywa na USA kisa we ni mkristu! Binafsi mi ni mkristu lakini usiku wa jana saa 6 usku, nilipiga goti nikasali baba yetu 3 nikafanya maombi ma5, ombi la 1-3 yalilenga familia yangu, ombi la 4 lilitua kwa Mh Rais Magufuli na ombi la 5 na la mwisho nililiombea taifa la Iran na viongozi wake.
Nitasimama kwenye haki bila kujali dini yangu.
Naona umejikita kuuombea udhalimu.
Mimi namwambia Mungu akupe jibu alilopa farao.
Sisi tumo kwenye nyumba ambayo miimo na vizingiti vyake vimenyunyiziwa damu ya mwanakondoo ili mharibu apitapo asituguse.
 
Trump's Iran War: what al-Qaeda and ISIS want

The U.S.-led joint task force against ISIS has suspended operations against the terror group in Iraq. Their resources and forces are having to get into a defensive posture because of the situation with Iran. This is exactly what Saudi Arabia wanted, and this is what al-Qaeda and ISIS want. So Trump, again, his actions are directly in support of the mission of ISIS and al-Qaeda, and this is further evidence of it. They suspended operations, and instead they're now focused on Iran.
 
Back
Top Bottom