Trump ameshaanza kutoa vitisho na mikwara kwa Iraq baada ya kufukuzwa nchini humo

Ni zaidi ya upuuzi kuishabikia vitu vya kipuuzi vinavyofanywa na USA kisa we ni mkristu! Binafsi mi ni mkristu lakini usiku wa jana saa 6 usku, nilipiga goti nikasali baba yetu 3 nikafanya maombi ma5, ombi la 1-3 yalilenga familia yangu, ombi la 4 lilitua kwa Mh Rais Magufuli na ombi la 5 na la mwisho nililiombea taifa la Iran na viongozi wake.
Nitasimama kwenye haki bila kujali dini yangu.
Kwaiyo tuwaambie iran waache kupiga domo na vitisho vyao kwasababu swala lao umelifikisha kwa mungu?

Swala la vita halizuiliki kwa maombi, unaweza ukapiga goti usali ili risasi kutoka kwenye AK 47 isitoke kukuangamiza?
 
Sawa Na vita ya maji maji?šŸ˜€
 
Ni zaidi ya upuuzi kuishabikia vitu vya kipuuzi vinavyofanywa na USA kisa we ni mkristu! Binafsi mi ni mkristu lakini usiku wa jana saa 6 usku, nilipiga goti nikasali baba yetu 3 nikafanya maombi ma5, ombi la 1-3 yalilenga familia yangu, ombi la 4 lilitua kwa Mh Rais Magufuli na ombi la 5 na la mwisho nililiombea taifa la Iran na viongozi wake.
Nitasimama kwenye haki bila kujali dini yangu.
Duh inawezekana sisi watanzania ndio tunaongoza kwa upumbavu duniani. Yani unamuombea Magufuli halafu unasema unasimama kwenye haki??

Anachokifanya USA kwa Iran kina tofauti gani na anachokifanya Magufuli kwa watanzania?
 
Mbona baadhi ya mataifa yametii agizo na wamesema wataheshimu mamlaka ya Iraq kwa kuwaondoa wanajeshi wao mfano ujerumani.
Yeye ninani mpaka akatalie kwenye nchi ambayo sio ya kwake?
Alafu unakuta mtu kutoka bara la giza anashangilia upuuzi kama huu.
Wana makubaliano/ mkataba maalum elewa hivyo. Kukataa kuvunjiwa mkataba kinyume na utaratibu ni kosa??? Kama wanataka kuwaondoa wawalipe kiasi walichowekeza.
 
Wana makubaliano/ mkataba maalum elewa hivyo. Kukataa kuvunjiwa mkataba kinyume na utaratibu ni kosa??? Kama wanataka kuwaondoa wawalipe kiasi walichowekeza.
Ni mikataba mingapi ambayo marekani ameivunja kuanzia mkataba wa nyukilia na Iran?
Alafu kingine unapo saini mkataba na mtu kuna masharitu ya mkataba ukiya vunja mkataba unakuwa umekufa.
 
Acha uongo,
Ona aibu
Hajasema gharama kuiondo IC..Ila gharama walotupa kujenga air base,km vipi wamlipe
Akili za Trump anazijua mwenyewe baada ya Iraq kuiamuru Marekani kuwaondoa wanajeshi wa Marekani nchini humo kutokana na Marekani kukiuka makubaliano ya uwepo wa wanajeshi hao.

Trump hakuchelewa kujibu kwa vitisho kama kawaida yake amesema Iraq ikitaka Marekani iondoke bila kinyongo basi nchini humo basi ilipe kwanza gharama za vita dhidi ya IS.

Na kulalamika kuwa Iraq imekuwa ikiithamini Irani kuliko Marekani.

Ametishia kuiwekea vikwazo vya kiuchumi iwapo Iraq itaviondoa kwa lazima vikosi vya Marekani nchini humo.
kwa kweli mambo ni mengi muda ni mchache.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wiki tu tutakuwa tunaongea mengine,
Zitabaki tu kauli za dini allah inaonewa sana,
Mara waarabu wanaonewa sana,
hapo hakuna kutunishiana msuli, muajemi/muarabu hamtunishie msuli marekani? ni Russia tu ambaye anaweza kutunishiana msuli na marekani, sio China wala ulaya. Kipigo watakachopata hao waarabu ,historia haitakisahau watapigwa haraka na kwa muda mfupi.

kosa kubwa walilofanya Iran ni kutaka kupambana na marekani huku ikijiua huyo m-qurd aliyeuawawa ni kiongozi Wa kundi la kigaidi na hapo marekani anachukulia Irani nzima ni wafandhili Wa ugaidi. hapo kitakachofuata narudia tena historia itaandika kwa machozi na damu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom