Trump ameshaanza kutoa vitisho na mikwara kwa Iraq baada ya kufukuzwa nchini humo

Rais Trump ametishia kufanya mashambulizi kadhaa dhidi ya Iraq baada ya bunge lake kutaka Marekani kuondoa majeshi yake nchini humo.

"Tumewekeza kiasi kikubwa sana cha fedha katika jeshi la anga huko. Kujenga msingi wake imetugharimu mabilioni ya dola. Hatutaondoka labda kama watatulipa gharama tuliyotumia", aliwaambia waandishi wa habarai.

Akizungumza akiwa katika ndege ya rais, Trump alisema kuwa kama Iraq inataka majeshi ya Mareani yaondoke nchini mwake kwa nguvu, "Tutalipiza kwa kufanya mashambulizi ambayo hayajawahi kutokea kabla . Na kufanya vikwazo ambavyo Iran imeviweka kuwa vya kawaida sana."

Wanajeshi wa Marekani wapatao 5,000 wapo Iraq kama sehemu ya makubaliano ya kimataifa ya kupambana na kundi la kigaidi la kiislamu 'Islamic State' (IS).

Siku ya jumapili, azimio lilifikiwa na wabunge wa Iraqi kuwa majeshi yote ya kigeni yaondoke nchini humo.

Mvutano bado ni mkubwa baada ya Marekani kuusika kumuua kiongozi wa jeshi wa Marekani jenerali Qasem Soleimani huko Baghdad wiki iliyopita. Iran iliapa kulipiza kisasi.

Soleimani ambaye alifariki akiwa na umri wa miaka 62, alikuwa akiongoza operesheni za vita katika nchi za mashariki ya kati na alikuwa anatambuliwa na wamarekani kama gaidi.

Mabaki ya mwili wa jenerali sasa yamerejeshwa katika nchi yake Iran, eneo ambalo waombolezaji wamekusanyika barabarani katika mitaa ya Tehran.

Kiongozi mpya wa kikosi cha jeshi la Iran la Quds - ambacho Soleimani aliongoza - aliapa kuwaondoa Wamarekani katika mataifa ya mashariki ya kati.

"Tumehaidi kuendelea kuwa mashaidi wa Soleimani kwa kufuata muongozo wake... na kile ambacho tunaweza kukifidia dhidi ya kifo chake ni kuwaondoa wamarekani katika ukanda wetu,"radio ya taifa ilimnukuu Esmail Ghaani.

Pia soma;
 
Mbona baadhi ya mataifa yametii agizo na wamesema wataheshimu mamlaka ya Iraq kwa kuwaondoa wanajeshi wao mfano ujerumani.
Yeye ninani mpaka akatalie kwenye nchi ambayo sio ya kwake?
Alafu unakuta mtu kutoka bara la giza anashangilia upuuzi kama huu.
 
hapo hakuna kutunishiana msuli, muajemi/muarabu hamtunishie msuli marekani? ni Russia tu ambaye anaweza kutunishiana msuli na marekani, sio China wala ulaya. Kipigo watakachopata hao waarabu ,historia haitakisahau watapigwa haraka na kwa muda mfupi.

kosa kubwa walilofanya Iran ni kutaka kupambana na marekani huku ikijiua huyo m-qurd aliyeuawawa ni kiongozi Wa kundi la kigaidi na hapo marekani anachukulia Irani nzima ni wafandhili Wa ugaidi. hapo kitakachofuata narudia tena historia itaandika kwa machozi na damu
Kumbuka pia marekani/trump anakutambua wewe kama shithole pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona baadhi ya mataifa yametii agizo na wamesema wataheshimu mamlaka ya Iraq kwa kuwaondoa wanajeshi wao mfano ujerumani.
Yeye ninani mpaka akatalie kwenye nchi ambayo sio ya kwake?
Alafu unakuta mtu kutoka bara la giza anashangilia upuuzi kama huu.
Mkuu trump hakukosea kutuita shithole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hapo hakuna kutunishiana msuli, muajemi/muarabu hamtunishie msuli marekani? ni Russia tu ambaye anaweza kutunishiana msuli na marekani, sio China wala ulaya. Kipigo watakachopata hao waarabu ,historia haitakisahau watapigwa haraka na kwa muda mfupi.

kosa kubwa walilofanya Iran ni kutaka kupambana na marekani huku ikijiua huyo m-qurd aliyeuawawa ni kiongozi Wa kundi la kigaidi na hapo marekani anachukulia Irani nzima ni wafandhili Wa ugaidi. hapo kitakachofuata narudia tena historia itaandika kwa machozi na damu
Kijana acha kubweka subiri soon utaelewa kati ya iran na marekan, Ni yupi Boss wa Middle East

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenye nchi yao jana wameamua majeshi yote ya marekani yaondoke kwenye ardhi ya Iraq tena haraka iwezekanavyo. Sasa Trump anaona mipango ya kuiba mafuta yao imevurugika anaanza kubwabwaja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kuiba mafuta,wanahitaji Iraq kama kituo cha majeshi ya Marekani kupambana na Iran.
Marekani kwa sasa ni taifa linaloongoza kuzalisha mafuta duniani,pia siku hizi anauzia mataifa mengine.
 
Kijana acha kubweka subiri soon utaelewa kati ya iran na marekan, Ni yupi Boss wa Middle East

Sent using Jamii Forums mobile app
Waarabu bado,labda wao kwa wao lakini kupambana na Raisi Trump itakuwa shughuli pevu.
Raisi Trump hajali anasema nini au atafawafanyia nini.Usishangae akitwanga Iran bila huruma na silaha za maangamizi.
Haogopi nchi za mashariki ya kati,Kwake ni biashara tu.
 
Punguza ushabiki maandazi usidhani vitani Kama operesheni korosho ya magufuli
hapo hakuna kutunishiana msuli, muajemi/muarabu hamtunishie msuli marekani? ni Russia tu ambaye anaweza kutunishiana msuli na marekani, sio China wala ulaya. Kipigo watakachopata hao waarabu ,historia haitakisahau watapigwa haraka na kwa muda mfupi.

kosa kubwa walilofanya Iran ni kutaka kupambana na marekani huku ikijiua huyo m-qurd aliyeuawawa ni kiongozi Wa kundi la kigaidi na hapo marekani anachukulia Irani nzima ni wafandhili Wa ugaidi. hapo kitakachofuata narudia tena historia itaandika kwa machozi na damu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waarab akili zero kabisa, tokea enzi za Abel and Cain, waarab ni Cain in behavior kabisa
 
Ujerumani wamesema wataupokea kea mikono miwili uamuzi was serikali ya Iraq,
Trump yeye katishia vikwazo,lakini nae allikurupuka tu,hakuna makubaliano ya kulipana,atashauliwa na kikubwa ataamua kuhamisha majeshi Kurdistan,maana kea pale Baghdad akilazimisha labda wanajeshi wa marekani wawe wanashinda wamejifungia ndani maana hawawezi kuzurula mitaani kea usalama wao,
Idadi ya askari w marekani Iraq haifiki hata 10,000,
Kama ataamua kuharibu,Basi marekani atachochea isis kurudi Tena,
Lakini tayari waziri mkuu wa Iraq Leo kakutana na balozi wa China,ambayo imekubali kuisaidia Iraq msaada wa kijeshi
 
Waarab akili zero kabisa, tokea enzi za Abel and Cain, waarab ni Cain in behavior kabisa
Ha ha ha,sio kwamba hawana akili,interest zinatofautiana,ujue kiasili mwarabu wa Iraq ni tofauti na wa Saud Lebanon,misri ,Qatar etc.
Irag ni Babylon,akadian ,hurian,Sumerian,
Syria Ni asyrian.
Misri ni wamisri,uarabu ulikuja baada ya misri
Lebanon ni caanan indgenous.
Gaza ni wafilisti.
West Bank ni Samarian mixer na wayahudi wa asilia,edomite.
Jordan ni Ammonite,wanna wa Amon ndoo maana hata mji mkuu unaitwa Aman.
Kwa hiyo interest Ni tofauti,Kama ilivyo marekani na Russia.
 
I
Ni zaidi ya upuuzi kuishabikia vitu vya kipuuzi vinavyofanywa na USA kisa we ni mkristu! Binafsi mi ni mkristu lakini usiku wa jana saa 6 usku, nilipiga goti nikasali baba yetu 3 nikafanya maombi ma5, ombi la 1-3 yalilenga familia yangu, ombi la 4 lilitua kwa Mh Rais Magufuli na ombi la 5 na la mwisho nililiombea taifa la Iran na viongozi wake.
Nitasimama kwenye haki bila kujali dini yangu.
[/QUOTE ulikosa vya kuombea mpka umuombee magufuli aka jiwe?
 
Youtube vyombo vya habari vya kimataifa karibia vyote vinarusha mazishi yake live,sizani kama Iran kama ataacha lilipite hivi hivi lazima atareact tena reaction yake nahisi itakuwa mbaya sana ,inaweza ikasababisha vita.
 
Back
Top Bottom