kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 17,183
- 16,866
Hilary naye angeshinda urais wa taifa kubwa la Marekani dhana ya 50 kwa 50 ingebadilika ghafla na kuwa 80 kwa wanawake na 20 wanaume ili kuponyesha majeraha ya wanawake kubaguliwa na kunyanyaswa na wanaume kwa miaka mingi. Bi hilary angeungana na Angel Mackel na Thereza May wa Uingereza katika kukinukisha. Ahsante Mungu kwa kuyasimamia maneno yako kwa wanadamu kuhusu nafazi ya mwanamke na mwanamke katika jamii. Amen.