Trump aionya Iran dhidi ya kuua waandamanaji, asema USA itashambulia

Trump aionya Iran dhidi ya kuua waandamanaji, asema USA itashambulia

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,476
Reaction score
53,335
Ayatollah ameonywa athubutu kuua hao waandamanaji, atashushiwa mavitu na kuwahishwa kule kwa mabikira, aache watu waikomboe nchi yao kutoka kwa uzombi wa dini.
=======================================

Trump warns Ayatollah ‘we will start shooting if you do’ as Iran rocked by another night of protests​

Donald Trump warned Ayatollah Ali Khamenei that the US will “start shooting” if demonstrators in Iran are targeted by government forces as nationwide protests demanding regime change continued into their 13th day.

The US president and Iran’s supreme leader traded threats as clashes between police and protesters continued across the country on Friday, with all internet and phone lines shut down.

And he warned that the US would hit the country hard if protesters were killed, saying he had “put Iran on notice”.


“There’s so many people protesting,” he said in an interview with Sean Hannity for Fox News. “Nobody’s ever seen anything like what’s happening right now, but I have put Iran on notice that if they start shooting at them – these people are totally unarmed people, and they love their country.

“They want something to happen. Look at their country. They’ve gone back 150 years. But I’ve warned them that if they do anything bad to these people, we’re going to hit them very hard. I’ve said it very loud and very clear, that’s what we’re going to do.”


At least 62 protesters and several police officers have been killed in the clashes since they began on 28 December, according to the Human Rights Activist News Agency (HRANA), with 2,200 arrests so far.
 
Kosa la kwanza kwa Waislamu, pale walipodhani kukimbilia Ulaya na Marekani kwa lengo la kuwabadili wazungu wawe Waislamu

Kumbe hawakujua kwamba, wao ndio wanakwenda kubadirishwa kuwa kama Wakristo wa Kizungu

Misimamo ya kidini yote inakatwa na kuanza kuwa wafuasi wa Yesu

Mpaka sasa, wapingaji wakubwa wa misimamo ya Dini hii, wapo Ulaya na Marekani na ndiyo wanaoongoza kuratibu maandamano maandamano katika nchi zao kupinga baadhi ya sheria za kidini

Tunaposema kufanywa Wafuasi, ni watu wanaoishi kwenye vuguvugu la mabadiriko ya mbali ya yale Bwana Yesu aliyafundisha kwamba, NANYI MKIISHA KUIJUA KWELI,NAYO HIYO KWELI ITAWAWEKA HURU MBALI NA MATESO

Wenzetu Waislamu, wengi sana huishi kwenye sheria ngumu na zingine za ajabu kidogo,

Huwezi kuwa mtu au ili uwe mfuasi mwema wa Allah, ni lazima pia uwalazimishe sheria hizo watu wengine kuziishi ikilazimika hata kwa bakora na hata mabomu!

Hiyo ni ngumu sana kulazimisha watu washike Imani yako kama uonavyo wewe, halafu mwisho wa siku at huyo Mungu atakuja kuwahukumu watu,

Kwa nini usiwaache waje kuhukumiwa na huyo Mungu na so wewe kutoa hukumu kwa watu wanaoikataa Imani yako?
 
Screenshot_20260110-143509_Instagram.jpg
 
Trump maliza kazi baba, futa huo ujinga duniani, watu wamepumbazika sana na dini hiyo ya kulazimishwa
 
Wale wapuuzi wa dini hiyo humu wanaruka wenzao wakisema wale ni mashia, wakitolewa wanaingia masuni. Kwani masuni sio kobazi?, hawavai hijabu? ukobazi wote ufike mwisho zije zama mpya katika dunia mpya
 
Back
Top Bottom