Trump aacha wosia endapo atauliwa na Iran

Trump aacha wosia endapo atauliwa na Iran

Keyboard_Warrior

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2015
Posts
6,108
Reaction score
10,480
Trump amesema kuwa ameshaacha WOSIA/maelekezo endapo Iran itafanikiwa kumuua.

Wosia huo unawaambia jeshi la Marekani nini cha kufanya baada ya kifo cha Trump!

Mikwara mingi kumbe dingi muoga, aaaagh!

---

President Trump said he's "left instructions" if Iran assassinates him "That would be a terrible thing for them to do, not because of me. If they did that, they would be obliterated. That would be the end. I've left instructions.""There wouldn't be anything left."
 
Haya sasa tupate uchambuzi wa masuala ya vita za kimataifa kutoka kwa wachambuzi wa kuvundika kutoka Bongo, wakisema Trump n mjinga 😂

Huwezi kuwa mjinga afu ukaongoza USA, ile Sio Tz hata mbuzi anaweza kuwa kiongozi
 
Mission ishasetiwa apo trump ashaona yupo JE file sasa kuepuka fedheha lazima aseme ivo hlf tukio likitokea wapate nafasi ya kumnyuc IRan
 
Mission ishasetiwa apo trump ashaona yupo JE file sasa kuepuka fedheha lazima aseme ivo hlf tukio likitokea wapate nafasi ya kumnyuc IRan
Hizo taarifa zinapikwa na MOSSAD, na aliyezipeleka ni Netanyahu majuzi alipokwenda kuonana nae..

MOSSAD wana uwezo wa kupika taarifa na wakaziwekea evidence kikubwa kuisukuma US kuivamia Iran...

Maana Israel inajaribu kila mbinu utawala wa Iran uanguke.. hata habari za Iraq ana silaha za nuclear ni Netanyahu alisema na Iraq ikavamiwa na hakukuwa na WMDs.

Israel itafanya lolote kuisukuma US kwenye huo ugomvi, maana ile vita iliyopita wamarekani waliikataa Israel na kusema wapambane na hali zao.
 
Haya sasa tupate uchambuzi wa masuala ya vita za kimataifa kutoka kwa wachambuzi wa kuvundika kutoka Bongo, wakisema Trump n mjinga 😂

Huwezi kuwa mjinga afu ukaongoza USA, ile Sio Tz hata mbuzi anaweza kuwa kiongozi
Stormy Daniels,mcheza picha za ngono aliyekula tunda la mti wa kati na Trump, kwenye kitabu chake kaandika dudu cha Trump kidogo kina umbo la uyoga mdogo

Anyways, Trump ni mfanyabiashara,pale ikulu anapiga madili tu na wafanyabiashara wenzie
Katika nchi yenye hatari ya mjinga kuiongoza basi USA namba moja
 
Hizo habari za dudu ya Trump mm inanihusu nn?
 
Netanyahu alivyo bwege anaweza mtanguliza huyu kubwa jinga mbele za haki halafu akawasogezea shombo Iran.
Kwamba anamua ili US wapate sababu ya kuwatwanga Iran. Sema kama kweli wanamuwinda kumuua italeta vita kubwa wakifanikiwa, US hatokaa kimya.
 
Back
Top Bottom