Kingdom_man
JF-Expert Member
- May 19, 2010
- 405
- 456
Waziri Pinda katika ziara mikoani akatakiwa kwenda kufungua kisima cha kijiji. Alipochungulia kisimani akarudi nyuma fasta. Akaulizwa Vipi Mheshimiwa??!!!
Akauliza "Mnafuga MAMBA kisimani??
Wananchi wakasema "HAPANA" Pinda akarudi tena kuchungulia kisimani. Ghafla akacheka kumbe ilikuwa sura yake ndani ya maji!!!!!!........ Lol.
Akauliza "Mnafuga MAMBA kisimani??
Wananchi wakasema "HAPANA" Pinda akarudi tena kuchungulia kisimani. Ghafla akacheka kumbe ilikuwa sura yake ndani ya maji!!!!!!........ Lol.