True story: Siwezi kufanya mapenzi na wewe labda uniroge

Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu

Ilikuwa ni jumapili tulivu sana nilipoamua niende zangu maktaba kusoma na kurifresh my mind. Mule maktaba palikuwa tulivu sana kwakweli, nilitupa jicho langu nikakutanisha macho na mtoto mmoja wa kihindi mkali kinoma ili bidi niende moja kwa moja alipokaa yule binti maana sehemu nyingi zilikua zimejaa

Kwa upole na saut ya chin kabisa nilimsemesha yule dada et dada samahan naweza kukaa hapa, kwa saut ya juu sana na ya kufoka yule dada aliropoka siwez kufanya mapenz na wewe msukuma labda uniroge, watu wote walinitazama na kunishangaa sana waliniona mtu wa ajabu sana, niliona aibu kubwa sana kwakweli ndugu zangu

Niliondoka kwa aibu kubwa sana nikaenda kukaa sehemu nyingine mule mule makitaba nikaanza kujisomea
Muda kidogo tu alikuja nikipokuwa nimekaa kwa saut ya upole sana na ya chin sana akanisemesha pole sana msukuma kwani unahis nimekuabisha sana?

Kwa saut ya juu sana na kwa rafudh nzito ya kisukuma nikaropoka wewe dada acha bhasii unataka kuniibia etii yaan laki mbili kwa usiku mmoja tu siwez kabhisa kufanya mapenz na wewe labda uniroge,

Watu wote waligeuka na kumtazama wakaanza kumshangaa sana huku wakianguka kwa kicheko cha furaha sana, aliabika kinoma aisee yaan alikuwa kama kashikwa ganzi. Watu walimcheka sana mule ndan

Hiyo inaitwa kama mbwai na iwe mbwai
Ukimwaga ugal mimi namwaga mboga
Ukishika kisu mimi nashika mkuki
Kama noma na iwe noma

NANYUPU

cc mbitiyaza

LONDON BABY

hahaaaaaaa wewe noma
 
niko tu ubize umekuzidi ndo maana
but am happy you are good
Asante sana

Utakuja lin tena gheto beibe

Aisee yaan uko vizur kweli hilo jicho lako ndo lilinimaliza sana siku ile afu una wethere kweli

Acha tu nikusifie hazaran beibe
 
Umeinakili mahali. Hii story ipo yangu kitambo sana Mkuu. Eti true story, it is a fixing one.
Duh mkuu sijainakili sema yaweza kuwa tumefanan mawazo na yule wa kwenye story yako
 
Asante sana

Utakuja lin tena gheto beibe

Aisee yaan uko vizur kweli hilo jicho lako ndo lilinimaliza sana siku ile afu una wethere kweli

Acha tu nikusifie hazaran beibe
haya mambo ya wavulana ni shida sana, mambo ya chumbani yanaletwaje hapa?

teh teh
 
Hii ni ya kusikia muda mrefu tu imekuwa iki trend kwenye makundi ya whatsapp toka kipindi kirefu eti unajifanya yako.... Acha kujidhalilisha.tunga yako.watu wamekusanifu tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom