True story nilivyopata mke mwema

True story nilivyopata mke mwema

Acha tu mkuu january ina mengi kuna kulipa kodi ya pango , ada za shule na mengine mengi . Huu mwezi uishe tu watu warudi kwenye hali zao za kawaida

kweli kabisa maana hali ikiendelea hivi tutayaona mengi ya kustaajabisha...
 
Akili fupii.. Sasa hiki kipande cha hadithi yako si ungekipeleka kwa shigongo?
 
Mmmh!.... harikaaa!
utasikia mtoto wa singo parent si mke mwema wala binti aliyekimbilia kuzaa kabla ajaolewa si mke mwema!
Utasikia anapatikana ktk nyumba za ibada!
Bado kidogo watasema ni wale walioko sokoni wanakimbizana na mgambo nk!
Kingine eti wale walioko kwenye maghorofa yanayojengwa wakibeba zege
Oooh tena watasema anayejitambu sasa sijui tahira anajitambua ni tahiraaa!
ITAENDELEA, STAY TUNNED........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom