TRUE STORY...msinirushie mawe

Maji yashamwagika..mweleze ukweli mkeo..anzia kwa wachungaji wake huko kwa mwingira anakosali
 
ajabu ni kwamba nilishasema kuwa hii story ni ya kutunga, lakini watu bado wanang'ang'ania, ndo maana utakuwa haiko consistent kabisa..nilishindwa kutunga story, sasa watu wanatoa mapovu...hahaha.
Hahahaah!! Nilishaandaa jiwe la kukutupia kumbe ni hadithi....!!
 
niko arusha hebu niunganishe nae niamini then nije humu kuwadhibitishia
 
kunuka atakinukisha tu,mwenzio huko kakaa anangoja tumbo lifike miezi km 8 na nusu hivi uone kama hajaibuka hapo kwako na mizigo yote.kwa ujumla hapo huna ndoa,bora umwambie tu wife ili ajiandae likitokea mjue namna ya kukabiliana nalo.
 

good thinking, hii story ni ya kutunga na mtoa mada kasepa kawaacha wanajf wanaumiza vichwa kutafuta solutions hewa.
 
we utakuwa umetumwa na mwingira uje uumpe promo aonekane nabii wa ukweli sio bure.
 
Sijui kwa nini siku hizi nimekua mvivu sana kuchangia,labda uvivu.

Mtoa mada inaonekana ulikua unamwogopa mkeo zaidi ya kuwa mwaminifu kwenye ndoa yako.Kuwa makini sana!
 
Hahaha, alikuwa ana2mia kinga alafu akaanza kuhesabu siku za mnyarwanda asibebe mimba. Ze comedy.
 

Je ulimuuliza huyo mwasherati mwenzio ana umri gani?
"A good liar should have a strong memory"
 
King'asti, ye sio wa kwanza bhana kuwa na mtoto nje, watu wana mpaka timu nje na bado wanaishi na wake zao tena ndoa zisizo na mgogoro. . .ni yeye kuweza kuzichanga karata vizuri tu mbona mambo yatakaa sawa.

Naona ukubwa wa uasherati, naona mnavyohamasishana. Maambukiai mapya ya UKIMWI na magonjwa ya zinaa kwenye ndoa kupungua ni baadaye sana!!!!
 
Nazan hujajua maana ya neno UPENDO,wewe umejawa na mapenz na sio Upendo,.mapenz unauwezo wa kuyapata sehemu yoyote ukitaka na kwa bei yoyote wakat upendo haupatikan sehem yoyote zaid ya ndan ya nafsi yako.,uyo mkeo unamapenz nae na sio Upendo.,mapenz ulionunua kwa mkeo ndo ulionunua kwa uyo mtutsi..swala la upendo hapo futa unaidanganya nafsi.,mwambie uyo mkeo kilicho jiri na inawezekana yy anakupenda ila ww unamapenz nae.,bak na mkeo na uyo mtutsi uliempa mimba lea mtoto atakae zaliwa...
 
Wachaga nilio waona mie ni weusi sasa hao weupe wa wapi
 
Wanawake wengi sana siku hizi hupenda kulia kwani wanajuwa ukilia mbele ya mwanamme ataogopa na kama huyo mwanamme ni mwongo basi atalegea na kubadilisha msimamo wake wa kukukacha, haya ni baadhi ya maneno tu wanayo ambiwa kwenye vibao kata, send off parties, na saluni hapa Dar. Kwa hiyo usione amekulilia ukidhani anakumind, lahasha....hiyo inaitwa ni danganya toto. Suala la yeye kuacha kazi si kitu kwani kwa vyovyote vile hiyo kazi yake haikuwa ya maana na ndiyo maana aliiacha au la yeye ni lazy person by nature. Mwanamke mwenye kupenda maendeleo kamwe hawezi acha kazi kwa ajili ya mwanamme, asikudanganye mtu. Binafsi nahisi alijifanya anakupenda kwa sababu una kazi nzuri na alihisi akiwa na wewe mara baada ya kukulisha midebwede ya kisasa (shuntama a.k.a. limbwata) utamwacha mkeo na watoto umtunze yeye na ukoo wake huku ukisaliti familia yako. Mwanamke si mjinga kama baadhi ya sisi mijibaba tuzaniavyo, mwanamke kabla hajakuvulia chupi anakusoma huku akikuchambua kila kona ya kichwa na hisia zako ili ajuwe namna gani ya kukumaliza wakati anapotaka kufanya hivyo. Pole kwa yaliyokukuta ila hali halisi ndiyo kama nilivyokueleza hapa. Kama unataka kuchapa demu, usimkaribishe kwako maana kuna uwezekano mkubwa akakuwekea vitu vya hajabu usiku ukilala unaona nyumba haitoshi bila yeye, ndipo unaamka usiku usiku kukimbia mitaani huku ukipishana na majambazi kwenda kumbembeleza aje kuishi nawe. Ukifikia katika hali kama hii, umekwishaaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…