TRUE STORY...msinirushie mawe

TRUE STORY...msinirushie mawe

Maji yashamwagika..mweleze ukweli mkeo..anzia kwa wachungaji wake huko kwa mwingira anakosali
 
ajabu ni kwamba nilishasema kuwa hii story ni ya kutunga, lakini watu bado wanang'ang'ania, ndo maana utakuwa haiko consistent kabisa..nilishindwa kutunga story, sasa watu wanatoa mapovu...hahaha.
Hahahaah!! Nilishaandaa jiwe la kukutupia kumbe ni hadithi....!!
 
niko arusha hebu niunganishe nae niamini then nije humu kuwadhibitishia
 
kunuka atakinukisha tu,mwenzio huko kakaa anangoja tumbo lifike miezi km 8 na nusu hivi uone kama hajaibuka hapo kwako na mizigo yote.kwa ujumla hapo huna ndoa,bora umwambie tu wife ili ajiandae likitokea mjue namna ya kukabiliana nalo.
 
Nahisi ni Stori ya KUTUNGA...na wasiwasi wangu upo kwa huyo binti wa Kinyarwanda kama unasema Mamaake alikimbia 'genocide' of which it was 1994...na akaja kuolewa na MCHAGA huko Mwanza...Basi kama hivo ndivyo huenda huyo binti lazima atakuwa chini ya 18..kwa hiyo unambaka mtoto...ryte??

good thinking, hii story ni ya kutunga na mtoa mada kasepa kawaacha wanajf wanaumiza vichwa kutafuta solutions hewa.
 
we utakuwa umetumwa na mwingira uje uumpe promo aonekane nabii wa ukweli sio bure.
 
Sijui kwa nini siku hizi nimekua mvivu sana kuchangia,labda uvivu.

Mtoa mada inaonekana ulikua unamwogopa mkeo zaidi ya kuwa mwaminifu kwenye ndoa yako.Kuwa makini sana!
 
Hahaha, alikuwa ana2mia kinga alafu akaanza kuhesabu siku za mnyarwanda asibebe mimba. Ze comedy.
 
NILIONDOKA HOME, nikaenda kufanya kazi mkoa fulani hapa tz, nimekaa huko kwa muda mrefu. waifu anafanya kazi hapa dsm. ....nimeoa nina watoto. tatizo lilinitokea, nikiwa huko nilikutana na mwanamke mmoja, ni mrefu, mwembamba kidogo ila hips kubwa, ni mzuri ajabu, mamake ni mtutsi babake mchaga wa marangu, mara ya kwanza ilikuwa kama utani, tukaanza urafiki, tukaenda kupima, tukawa negative, tukaanza kutumia ndomu, nilikuwa nakaa lodge hivyo wiki mbili za mwanzo alikuwa anahudhuria kwenye lodge kila siku.

alihamia kabisa, na akaacha kazi, tukawa tunaishi wote kwenye lodge. sikujua ni kitu gani aliona kwangu, sijui nilimfanya vizuri sana ila toka siku ya kwanz anilimwambia mimi nimeoa mke wangu yuko dsm na ni mkali sana na ana wivu, tukawa tunafanya tu.

kati ya miezi karibia sita au saba, tulikaa lodge tofautitofauti, ila tulikuwa tunakaa pamoja. kazi yangu ilikuwa ni ya kufanyia tu ndani ya lodge na kama kwenda ofisini ni kwenda naye pamoja na kuweka doc kwa bos na tunarudi wote, yeye hakutaka kuniacha hata mara moja akiogopa nitamtoroka, ati nitabadilisha lodge na kumkimbia. alinipenda akawa analia usiku machozi ati anatamani kama angekutana na mke wangu akubaliane naye amruhusu awe mke wa pili, atamheshimu sana mke wangu, akawa anajilaumu kwamba ni kwanini mimi niliwahi kuoa kabla sijakutana na yeye?

tukiwa sita kwa sita mara nyingi namuona anatoa mikelele kuwa kwanini nimewahi kabla sijakutana naye, manake angekuwa mke wangu. aling'angá nia kuniita mume na mimi nikawa nakata jina hilo. nilikuwa nashangaa, kwanini mwanamke mzuri hivi analia machozi na yuko serious, hatanii, kwamba anatamani angekuwa mke wangu hata wa pili haingekuwa shida kwake?....mimi ni mwanaume sina sura nzuri najijua, ni nunda mweusi....yeye ana weupe wa kichaga na umbo na sura ya kinyarwanda [CLOLOR=0000FFF](mamake alikimbia ile genocide)[/COLOR]....babake ni tajiri tu ana bar kibao mwanza pale.

SIKU MOJA TUKIWA TUMEKAA, akaniambia anatamani kama angebeba damu yangu, kwasababu anajua mimi sitamuoa kwani nampenda sana mke wangu kuliko yeye. nilimtisha kuwa mke wangu atakutoa roho ukijifanya kuning'ang'ania...mzuriiii,....nilikuwa makini kuhesabu tarehe siku za mimba na bleed yake,....nimejikuta nimetwika mimba tayari,...ana mimba ya miezi minne sasaivi,...ninahudumia mimba na yeye nampenda ile sitamuoa na nilishamwambia mkataba wetu ni mtoto tu, si yeye...amefurahi sana kubeba damu yangu tumboni mwake...sasaivi amehamia arusha anafanya kazi kule......napigiana naye simu kila siku kabla ya kufika home, ana akili sana, ni mwaminifu sana kati ya mademu niliowaikuwa nao.

najua niliteleza, nilimtenda waifu kosa kubwa...juzi waifu anasali kwa mwingira, aliniamsha saa kumi za usiku akasema ameonyeshwa na Mungu kwenye ndoto kuwa mimi nina mke mwingine, akaniambia yote niliyoyafanya...niliogopa, lakini wkasababu mimi ni mbabe kidogo nilimfokea kwanini ananivurugia usingizi na kwanini ananiambia hivyo, nikapotezea...lakini niliumia moyoni kwanini nilifanya vile...kumtelekeza mwanamke yule na mimba naona sio fresh, pamoja na kwamba anaweza kulea yeye mwenyewe, .......nitaanzaje kumwambia waifu kuwa nina mtoto nje?...waifu ananipenda sana na mimi nampenda kuliko wanawake wote duniani najua tutasameheana lakini pa kuanzia sijui....yule wa arusha na mimba yangu, nashukuru Mungu hatakinukisha.....

Je ulimuuliza huyo mwasherati mwenzio ana umri gani?
"A good liar should have a strong memory"
 
King'asti, ye sio wa kwanza bhana kuwa na mtoto nje, watu wana mpaka timu nje na bado wanaishi na wake zao tena ndoa zisizo na mgogoro. . .ni yeye kuweza kuzichanga karata vizuri tu mbona mambo yatakaa sawa.

Naona ukubwa wa uasherati, naona mnavyohamasishana. Maambukiai mapya ya UKIMWI na magonjwa ya zinaa kwenye ndoa kupungua ni baadaye sana!!!!
 
Nazan hujajua maana ya neno UPENDO,wewe umejawa na mapenz na sio Upendo,.mapenz unauwezo wa kuyapata sehemu yoyote ukitaka na kwa bei yoyote wakat upendo haupatikan sehem yoyote zaid ya ndan ya nafsi yako.,uyo mkeo unamapenz nae na sio Upendo.,mapenz ulionunua kwa mkeo ndo ulionunua kwa uyo mtutsi..swala la upendo hapo futa unaidanganya nafsi.,mwambie uyo mkeo kilicho jiri na inawezekana yy anakupenda ila ww unamapenz nae.,bak na mkeo na uyo mtutsi uliempa mimba lea mtoto atakae zaliwa...
 
Wachaga nilio waona mie ni weusi sasa hao weupe wa wapi
 
Wanawake wengi sana siku hizi hupenda kulia kwani wanajuwa ukilia mbele ya mwanamme ataogopa na kama huyo mwanamme ni mwongo basi atalegea na kubadilisha msimamo wake wa kukukacha, haya ni baadhi ya maneno tu wanayo ambiwa kwenye vibao kata, send off parties, na saluni hapa Dar. Kwa hiyo usione amekulilia ukidhani anakumind, lahasha....hiyo inaitwa ni danganya toto. Suala la yeye kuacha kazi si kitu kwani kwa vyovyote vile hiyo kazi yake haikuwa ya maana na ndiyo maana aliiacha au la yeye ni lazy person by nature. Mwanamke mwenye kupenda maendeleo kamwe hawezi acha kazi kwa ajili ya mwanamme, asikudanganye mtu. Binafsi nahisi alijifanya anakupenda kwa sababu una kazi nzuri na alihisi akiwa na wewe mara baada ya kukulisha midebwede ya kisasa (shuntama a.k.a. limbwata) utamwacha mkeo na watoto umtunze yeye na ukoo wake huku ukisaliti familia yako. Mwanamke si mjinga kama baadhi ya sisi mijibaba tuzaniavyo, mwanamke kabla hajakuvulia chupi anakusoma huku akikuchambua kila kona ya kichwa na hisia zako ili ajuwe namna gani ya kukumaliza wakati anapotaka kufanya hivyo. Pole kwa yaliyokukuta ila hali halisi ndiyo kama nilivyokueleza hapa. Kama unataka kuchapa demu, usimkaribishe kwako maana kuna uwezekano mkubwa akakuwekea vitu vya hajabu usiku ukilala unaona nyumba haitoshi bila yeye, ndipo unaamka usiku usiku kukimbia mitaani huku ukipishana na majambazi kwenda kumbembeleza aje kuishi nawe. Ukifikia katika hali kama hii, umekwishaaaa!
 
Back
Top Bottom