True in our lives

Third Eye

JF-Expert Member
Jan 8, 2012
373
209
uploadfromtaptalk1371192660425.jpg

Sometimes we look far, tunachotafuta kipo jirani
 
Inabidi tusali sana ili kuachilia nguvu za Mungu zitakazotufanya tukaone vitu ambavyo kwa uelewa wa kibinadamu hatuwezi kuviona. Itakuwa rahisi sana kwetu na tutakuwa kamwe hatupati hasara maishani mwetu manake wapo wanaotafuta na wanapata ila vile wanavyovipata kumbe havikuwa mpango wa Mungu wao kuvipata hvyo vinaishia kuwa vya muda tu na si vya kudumu!
 
mwaomba lakini hamoati kwakuwa hamuombi kwa imani
 
Ni ukweli kabisa,sababu binadamu na akili zake zote ana DNA zinazofanana na Sokwemtu kwa 98% na kiukweli ni kwamba mpaka tumeweza kufika kwenye sayari nyingine na ugunduzi wote lakini bado mwanadamu hajaweza kutumia hata robo ya ubongo wake...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom