True Caller....

True Caller....

KwenytHTCulkuwa unafanyaje?


Kwenye HTC nili download kisha nikaji- register kwa kuandika baadhi ya taarifa zangu baada ya hpo ikakubali,nisaidie mkuu ktk Lumia nifanyeje?
 
Mkuu ymollel,ngoja nihakikishe kama setting imekamilishwa nitaleta feedback.
 
Last edited by a moderator:
Halafu kwa ios naona haifanyi vizuri kama kwenye android sijui shida ni nn??
 
Wazungu hawanaga hizo mambo...huwa wanasave jina la mtu!
 
Back
Top Bottom