TroubleShoot your TunnelGuru

Hi! Tech guys. 0 is now available again. I have tried it with firefox and internet explorer. May be you try again to check how to!

Wale wale!!
Kwani umeeambiwa haiconnect 00?
Tatzo ni kwamba haifungui free site ikiwa haina mpunga hebu potea zako hapo uelewi kitu
 
Wale wale!!
Kwani umeeambiwa haiconnect 00?
Tatzo ni kwamba haifungui free site ikiwa haina mpunga hebu potea zako hapo uelewi kitu

kaka huu sio mda wa kutusiana yaani hapa inabidi kupeana mautundu tuone tunachomoka vipi mm sina hamu tena kuuza hivi vitu hapa bongo mpaka upepo utakapotulia na utakua mwendo wa PM kama paje alivyokua akifanya maana yale ya kuweka namba ya simu haumjui ni nani anaku-snitch lkn kwa PM mchawi lazima ajulikane tu
 
chief-mkwawa nimesoma post yako kipindi fulani cha proxy nikaona una-identify 2 types ya free sites ambazo ni HTTP=Hyper text transfer protocol ambazo zinafanya kazi na mambo yetu yale e.g 0...
ya pili ukaitaja RTSP=Real time streaming protocol

Na hii kama ni kweli ulichokisema ndo maana ile free site iliyobaki hatuwezi fanya HTTP tunneling kwa TG lkn niliposoma nikaona kuwa hii inafanya kazi kupitia UDP port fulani lkn ni impossible iwe open kwenye server za PD au TG
[TABLE="width: 1242, align: center"]
<tbody>[TR]
[TD="width: 170"][/TD]
[TD="width: 158"][/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
 
Last edited by a moderator:
Wale wale!!
Kwani umeeambiwa haiconnect 00?
Tatzo ni kwamba haifungui free site ikiwa haina mpunga hebu potea zako hapo uelewi kitu

Yap! simjaribu mtu. Yangu haina mpunga na imekubali ku-connect kwenye hiyo free site! believe me! you may try it!
 
Yap! simjaribu mtu. Yangu haina mpunga na imekubali ku-connect kwenye hiyo free site! believe me! you may try it!

unatumia Mozilaa kweli na inafunguka?
au na wewe umetumia Opera kama alivyo Identify mdau fulani
 
unatumia Mozilaa kweli na inafunguka?
au na wewe umetumia Opera kama alivyo Identify mdau fulani

Real! I have tried in Firefox and Internet Explorer! You may also try without using any proxy and check if you get the same result!
 

Wanaudh sana
 
Duuh!Njia imeshafungwa kumbe na kwenye wakongwe kuna wanafiki
daaah! siamini macho yangu I see....lkn tutashindana na nyinyi maana naona kama mnatuonea wivu...si mtuacheni kwani mnapata loss gani...ss bundle hatuwez nunua tuacheni tu
WTF, this soon?:mad2::mad2::mad2:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…