Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,252
- 113,646
Watu waliolosti na wazee mara nyingi ndio huanza stories za memory lane, which is it? I know you ain't that old.
Im still making memories, money.
Basi bana kama ndio hivyo mi ngoja niendelee kukumbuka enzi zile mambo yalivyokuwa mswano......sasa hivi nimelosti na maboksi na yenyewe yananizeesha mapema...ulikuwa sawa kabisa na ulichosema
....zile goroli zilizokuwa na rangi rangi nyingi na zile za vyuma ndio zilikuwa mali sana......what is/ are your memory(ies)?
Kombolela a.k.a kamfichamo, umecheza hiyoo? na kama wewe steling lazima ujifiche na mtoto mzuri. Ulikuwa utoto lakini.
Nyani unakumbuka Shorwe, Shorwe Bwenzi, Tongwa....Tetere
Nani anakumbuka ndege aina ya visota?
Sholwe bwenzi unamkumbuka?
hao nawakumbuka sana......mwingine ni ndege jini,kijolowe na msibya......mnawakumbuka nimewawinda sana hao.....Nyani unakumbuka Shorwe, Shorwe Bwenzi, Tongwa....Tetere