Trilioni 424? Tuacheni utani jamani

Trilioni 424? Tuacheni utani jamani

Tujiulize tuu toka wa meanza kuvuna hayo madini Adi Leo wamepata sh ngapi ili hiyo iwe ni Kodi?

Kuna shida sana ikiwa watu watahemuka kuandika mambo ili kiranjakuu afurah wakati kiuhalisia kabs Hali hauko hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo upige hesabu kama kodi ni 18% basi walichopata ni 100% hivyo hiyo tirion 400 ni 18% sasa 100% itakuwa ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani ss ni watanzania tumeibiwa sana tuache utani.Kiukweli mahesabu hayo in sawa kabisa kwasababu kwa miaka kumi bila kulipa kodi staiki na faini zake ni sawa.Nionavyo mm inawezekana hata TRA.kuna vingine wameacha ,,,Tuache kujidharau namna hii.Wazungu wanatajirika na nchi zao kwa rasimali zetu Tz na Africa.Tuache uoga tumsapoti rais ahakikishe TRA eanapambana haya makampuni yalipe hizo PESA .Ili ss eanyonge tupumue na majasho yetu.na siyo wazungu wale raslimali zetu namna hii.Watanzania Tuamke.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuuungane kupigana vita hii inapata nguvu kubwa sana kutoka makampuni ya kibeberu ya kunyonya Africa.yanaungana kutumaliza sasa basis.Silas yetu ni Umoja tu.Tukigawanyika watatuzidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ata ayo madini yaliokusanywa na kuchukuliwa na hio kampuni toka 2000 mpaka 2017 sidhani kama yanaifikia hio trilion 424.
NENDA GEITA, BIHARAMULO , KAHAMA;
KAMA WAMEBEBA MAKONTENA MILIONI 42 . ZIDISHA KILA CONTENA KODI MILIONI KUMI AU ZAIDI POSIBLE

42,000,000 X 10,000,000 =
 
Hivi ni kweli hawa waliopeleka hii assessment ya kodi kwa ilo shirika walipata kiasi icho? Jamni mbona hii ni hatari sasaa? Kiasi icho sasa ni trilion kama za zimbabwe au kama za hizi nchi zingine? hio kampuni inaweza kutoa wapi? Au wale wamejiandikia tu basi flani aone?

Figure hio ni sawa na kumpelekea muuza mkaa makadirio ya kodi ya gunia zake za toka 2013 hadi 2017 ziligharimu msitu mzima wa mbuga ya serengeti.

Tutumie elimu na weledi wetu vizuri waungwana, tueleweshane tu, africa moja hii, maana kuna mambo mengine unayaskia redion unajua labda mtangazaji kakosea kusema kiasi husika.

Endapo nchi yoyote ya kiafrica ikipata trilioni 424 papo kwa hapo basi itakua ni nchi ya nne kwa kua na uchumi mkubwa zaidi ndani ya bara hili na top 60 ya nchi tajiri duniani itakuemo vizuri tu.

Kwaio trilion 424 si ni sawa tu na matajiri watano wakubwa duniani wote wanyang'anywe mali zao ipewe ile nchi? Tobaa mbona tunaskia Bill Gates peke ake ana uwezo wa kuwapa buku buku watu wote duniani na chenchi ikabaki, jumlisha na wenzake tena?

Mambo nisiyopenda kuyaona africa ni eti kuchukua begi moja kubwa sanaa kwenda kununua tu nyanya sokoni, kua na noti hadi za milion 10.

Nliskia et Africa kuna shule za mabweni wanafunzi wake wanawekewaga mafuta ya taa kwenye vyakula vyao, au labda athari zake ndizo hizi sasa.

Tuache utani tuwe serius, haya ni mazingaombwe na yana aibisha watu wa ile nchi na kuonekana wao na shule ni mbali mbali.

NB. Hakuna nchi yoyote iliyotajwa jina hapa, tafadhali bhana tuheshimiane oooh.
Umelipwa sh ngapi mpaka kuja hivi hadharan kuibeza serikali ya nchi yako,nawasiwasi wewe utakua MRUDI,Huna hata chembe ya uzalendo

ploudly ngosha [emoji243][emoji243][emoji243]
 
Hivi ni kweli hawa waliopeleka hii assessment ya kodi kwa ilo shirika walipata kiasi icho? Jamni mbona hii ni hatari sasaa? Kiasi icho sasa ni trilion kama za zimbabwe au kama za hizi nchi zingine? hio kampuni inaweza kutoa wapi? Au wale wamejiandikia tu basi flani aone?

Figure hio ni sawa na kumpelekea muuza mkaa makadirio ya kodi ya gunia zake za toka 2013 hadi 2017 ziligharimu msitu mzima wa mbuga ya serengeti.

Tutumie elimu na weledi wetu vizuri waungwana, tueleweshane tu, africa moja hii, maana kuna mambo mengine unayaskia redion unajua labda mtangazaji kakosea kusema kiasi husika.

Endapo nchi yoyote ya kiafrica ikipata trilioni 424 papo kwa hapo basi itakua ni nchi ya nne kwa kua na uchumi mkubwa zaidi ndani ya bara hili na top 60 ya nchi tajiri duniani itakuemo vizuri tu.

Kwaio trilion 424 si ni sawa tu na matajiri watano wakubwa duniani wote wanyang'anywe mali zao ipewe ile nchi? Tobaa mbona tunaskia Bill Gates peke ake ana uwezo wa kuwapa buku buku watu wote duniani na chenchi ikabaki, jumlisha na wenzake tena?

Mambo nisiyopenda kuyaona africa ni eti kuchukua begi moja kubwa sanaa kwenda kununua tu nyanya sokoni, kua na noti hadi za milion 10.

Nliskia et Africa kuna shule za mabweni wanafunzi wake wanawekewaga mafuta ya taa kwenye vyakula vyao, au labda athari zake ndizo hizi sasa.

Tuache utani tuwe serius, haya ni mazingaombwe na yana aibisha watu wa ile nchi na kuonekana wao na shule ni mbali mbali.

NB. Hakuna nchi yoyote iliyotajwa jina hapa, tafadhali bhana tuheshimiane oooh.
Huna sababu ya kujifanya kiazi wakati by way looking into your post/thread, you are good upstairs. Unachotakiwa kufanhamu ni kuwa uchumi wa dunia (global economy umejengeka (architecture) kwa muundo na mfumo wa ulaghai unaorasmisha nchi tajiri kutumia makampuni ya kibeberu (MNEs) kutoroshaji utajiri wa rasilimali kutoka nchi maskini. Unatakiwa kuchukulia hii kuwa ni case study. Tumekuwa tukisema na duniani kote pia, kwamba kwa nini kampuni itangaze kupata hasara kila mwaka lakini iendelee kufanya biashara ya kuchimba madini kwa miaka 17! Ukweli ndio huo; Acacia wamekamatwa red handed wakitumika kuhamisha rasilimali zetu kwenda Ulaya na Amerika. Makampuni yote ya aina ya Acacia mara zote hufanya tax planning strategies kuficha faida halisi inayopatikana kwenye miradi yake ambayo huamishiwa kwenye off shore accounts (visiwa vya kukwepa kodi) ili kuratibu wizi wa rasilimali za nchi maskini.

Tanzania ni nchi tajiri ila utajiri wake unahakisiwa/sharabiwa na utajiri wa makampuni yanayo wekeza kwenye miradi ya madini, gesi, mafuta, misitu, wanyapori na uvuvi hapa nchini!

Tafadhali soma ukurasa wa 5 katika ripoti hii, kuona mojawapo ya chanzo cha kampuni ya ABG/Acacia kuwa na limbikizo kubwa la kodi. Dawa ya deni ni kulipa, lakini Acacia imekuwa ikijificha kulipa kwa miaka 17
 
Hivi ni kweli hawa waliopeleka hii assessment ya kodi kwa ilo shirika walipata kiasi icho? Jamni mbona hii ni hatari sasaa? Kiasi icho sasa ni trilion kama za zimbabwe au kama za hizi nchi zingine? hio kampuni inaweza kutoa wapi? Au wale wamejiandikia tu basi flani aone?

Figure hio ni sawa na kumpelekea muuza mkaa makadirio ya kodi ya gunia zake za toka 2013 hadi 2017 ziligharimu msitu mzima wa mbuga ya serengeti.

Tutumie elimu na weledi wetu vizuri waungwana, tueleweshane tu, africa moja hii, maana kuna mambo mengine unayaskia redion unajua labda mtangazaji kakosea kusema kiasi husika.

Endapo nchi yoyote ya kiafrica ikipata trilioni 424 papo kwa hapo basi itakua ni nchi ya nne kwa kua na uchumi mkubwa zaidi ndani ya bara hili na top 60 ya nchi tajiri duniani itakuemo vizuri tu.

Kwaio trilion 424 si ni sawa tu na matajiri watano wakubwa duniani wote wanyang'anywe mali zao ipewe ile nchi? Tobaa mbona tunaskia Bill Gates peke ake ana uwezo wa kuwapa buku buku watu wote duniani na chenchi ikabaki, jumlisha na wenzake tena?

Mambo nisiyopenda kuyaona africa ni eti kuchukua begi moja kubwa sanaa kwenda kununua tu nyanya sokoni, kua na noti hadi za milion 10.

Nliskia et Africa kuna shule za mabweni wanafunzi wake wanawekewaga mafuta ya taa kwenye vyakula vyao, au labda athari zake ndizo hizi sasa.

Tuache utani tuwe serius, haya ni mazingaombwe na yana aibisha watu wa ile nchi na kuonekana wao na shule ni mbali mbali.

NB. Hakuna nchi yoyote iliyotajwa jina hapa, tafadhali bhana tuheshimiane oooh.
Sheria za kodi zikisimamiwa vyema watu hawata dhubutu hata kidogo kujarbu hata nukta kukwepa kodi.
Kamishina anaruhusu kufanya uhakiki wa Kodi kwa Miaka 15 iliyopita iwapo kuna dalili zozore za ukwepaji kodi na akijiridhisha anaweza kufanya assesment na kutoa makadirio mapya hadi miaka hyo iliyokwepa sasa ndilo lililo wakuta.

Yani sheria ya Income Tax act ikisimamiwa vyema wakwepa kodi wanaweza kufirisika asee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Give us your exact figure which should has been submitted to the hide-outs companies of the so called ACACIA.
-------
It seems you are a best reliable insider of these hide-outs.
 
Wakikujibu nishtue ndugu

Sent using Jamii Forums mobile app
SHERIA IPI ILIWARUHUSU KUTULAGHAI? MKATABA UNAKATAZACULAGHAI SASA WAO HATA BAADA YA MKATABA WAKAGUNDUA KIUHALISIA SIVYO SI ILITAKIWA WARUDI WATUELEZE? JE WAGEKUTA MAKANIKIA YANATOA 0.1% NINA UHAKIKA WANGELIRUDI KUTUELEZA FIKIRIA ZAIDI KIDOGO
 
Hapa ndiyo utaona jinsi TRA wanavyokurupuka na assessments zao ambazo ni za juu mnooo kutubambikia Watanzania kodi kubwa kuliko maelezo na matokeo yake kuathiri biashara nchini kwa namna mbali mbali. Hii assessment ya ACACIA imewaacha uchi kabisa. Sijui watakuja na utetezi upi wa hii assessment kubwa kiasi hiki.

wanatumika vibaya sana kaka yaani hadi aibu
 
Back
Top Bottom