Trilioni 424? Tuacheni utani jamani

Hivi ni kweli hawa waliopeleka hii assessment ya kodi kwa ilo shirika walipata kiasi icho? Jamni mbona hii ni hatari sasaa? Kiasi icho sasa ni trilion kama za zimbabwe au kama za hizi nchi zingine? hio kampuni inaweza kutoa wapi? Au wale wamejiandikia tu basi flani aone?

Figure hio ni sawa na kumpelekea muuza mkaa makadirio ya kodi ya gunia zake za toka 2013 hadi 2017 ziligharimu msitu mzima wa mbuga ya serengeti.

Tutumie elimu na weledi wetu vizuri waungwana, tueleweshane tu, africa moja hii, maana kuna mambo mengine unayaskia redion unajua labda mtangazaji kakosea kusema kiasi husika.

Endapo nchi yoyote ya kiafrica ikipata trilioni 424 papo kwa hapo basi itakua ni nchi ya nne kwa kua na uchumi mkubwa zaidi ndani ya bara hili na top 60 ya nchi tajiri duniani itakuemo vizuri tu.

Kwaio trilion 424 si ni sawa tu na matajiri watano wakubwa duniani wote wanyang'anywe mali zao ipewe ile nchi? Tobaa mbona tunaskia Bill Gates peke ake ana uwezo wa kuwapa buku buku watu wote duniani na chenchi ikabaki, jumlisha na wenzake tena?

Mambo nisiyopenda kuyaona africa ni eti kuchukua begi moja kubwa sanaa kwenda kununua tu nyanya sokoni, kua na noti hadi za milion 10.

Nliskia et Africa kuna shule za mabweni wanafunzi wake wanawekewaga mafuta ya taa kwenye vyakula vyao, au labda athari zake ndizo hizi sasa.

Tuache utani tuwe serius, haya ni mazingaombwe na yana aibisha watu wa ile nchi na kuonekana wao na shule ni mbali mbali.

NB. Hakuna nchi yoyote iliyotajwa jina hapa, tafadhali bhana tuheshimiane oooh.
Maelekezo kutoka juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Historia inajirudia
Hao wa ACCACIA hela tuliokua tukiwadai TRILIONI KADHAA
UKIINGIA GOOGLE UKAANDIKA THE RICHEST MINNING COMPANY
hao hao ACCACIA utaona ndio maskini kabxaaa yaani kampuni yao ina handle milioni 7$ usd
Sasa tutalipwaje
Hapo ni sawa na kumpiga nkwenzi kinyago sijui nani ataumia

Hahahahha mkuu hao kama utajili wao ni trilion kama 14 tu za kibongo ikiwemo thamani ya vifaa na mali zao zote wanazomiliki, sasa trilion 424 wanaweza kuzitoa wapi?
 
Tujiulize tuu toka wa meanza kuvuna hayo madini Adi Leo wamepata sh ngapi ili hiyo iwe ni Kodi?

Kuna shida sana ikiwa watu watahemuka kuandika mambo ili kiranjakuu afurah wakati kiuhalisia kabs Hali hauko hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app

Utajiri wao na mali zao zote hazifiki trilion 15 mkuu, sijui tunawasaidiaje mkuu? Hahaaaha ilo deni ni kituko cha karne.
 
Hivi ni kweli hawa waliopeleka hii assessment ya kodi kwa ilo shirika walipata kiasi icho? Jamni mbona hii ni hatari sasaa? Kiasi icho sasa ni trilion kama za zimbabwe au kama za hizi nchi zingine? hio kampuni inaweza kutoa wapi? Au wale wamejiandikia tu basi flani aone?

Figure hio ni sawa na kumpelekea muuza mkaa makadirio ya kodi ya gunia zake za toka 2013 hadi 2017 ziligharimu msitu mzima wa mbuga ya serengeti.

Tutumie elimu na weledi wetu vizuri waungwana, tueleweshane tu, africa moja hii, maana kuna mambo mengine unayaskia redion unajua labda mtangazaji kakosea kusema kiasi husika.

Endapo nchi yoyote ya kiafrica ikipata trilioni 424 papo kwa hapo basi itakua ni nchi ya nne kwa kua na uchumi mkubwa zaidi ndani ya bara hili na top 60 ya nchi tajiri duniani itakuemo vizuri tu.

Kwaio trilion 424 si ni sawa tu na matajiri watano wakubwa duniani wote wanyang'anywe mali zao ipewe ile nchi? Tobaa mbona tunaskia Bill Gates peke ake ana uwezo wa kuwapa buku buku watu wote duniani na chenchi ikabaki, jumlisha na wenzake tena?

Mambo nisiyopenda kuyaona africa ni eti kuchukua begi moja kubwa sanaa kwenda kununua tu nyanya sokoni, kua na noti hadi za milion 10.

Nliskia et Africa kuna shule za mabweni wanafunzi wake wanawekewaga mafuta ya taa kwenye vyakula vyao, au labda athari zake ndizo hizi sasa.

Tuache utani tuwe serius, haya ni mazingaombwe na yana aibisha watu wa ile nchi na kuonekana wao na shule ni mbali mbali.

NB. Hakuna nchi yoyote iliyotajwa jina hapa, tafadhali bhana tuheshimiane oooh.
Baada ya miaka miwili au mitatu waziri wa fedha atapeleka adhiko Bunge la kuomba kufuta madeni ya kodi yasiyolipika likiwemo hilo
 
Mtaji wenyewe wanao ni T10 hapo ni pamoja na vifaa vyao vyote.

Mkuu mambo mengine yanaivua nguo nchi, kwa akili za hawa jamaa wa mahesabu ni kitisho tosha kwa wawekezaji kuikimbia na kuiogopa nchi, kweli unaleta madai ya kodi tu yaani kodi tu kubwa kuliko thamani ya mali zake zote kwa pamoja uzizidishe mara 40?
 
Sio maigizo mkuu,ukitaka kukumbana hali km hii siku ombea uwe unarudi kutoka nje ya nchi,hlf ununue ka tv kako huko utokako,ukifika jkn airport jamaa wa tra watakapokupigia kodi unayotakiwa kuilipia utatamani uwaachie ako ka tv kenyewe

Asee wale jamaa wa mahesabu akili zile hua wanazipata wapi? Mbona wanatia aibu sanaaa? Yaani unaweza kununua ka kitu kadogo nje ya nchi ukikaleta kwao inakua ni big deal na watakukazia sanaaa.
 
hili ni jambo la kushangaza sana, hao barrick gold kwa migodi yao yote duniani wanapata revenue kati ya 8.8 to 13 billion dollar kwa mwaka,sas mgodi mmoja tu wadaiwe dola 190bil
 
Hivi ni kweli hawa waliopeleka hii assessment ya kodi kwa ilo shirika walipata kiasi icho? Jamni mbona hii ni hatari sasaa? Kiasi icho sasa ni trilion kama za zimbabwe au kama za hizi nchi zingine? hio kampuni inaweza kutoa wapi? Au wale wamejiandikia tu basi flani aone?

Figure hio ni sawa na kumpelekea muuza mkaa makadirio ya kodi ya gunia zake za toka 2013 hadi 2017 ziligharimu msitu mzima wa mbuga ya serengeti.

Tutumie elimu na weledi wetu vizuri waungwana, tueleweshane tu, africa moja hii, maana kuna mambo mengine unayaskia redion unajua labda mtangazaji kakosea kusema kiasi husika.

Endapo nchi yoyote ya kiafrica ikipata trilioni 424 papo kwa hapo basi itakua ni nchi ya nne kwa kua na uchumi mkubwa zaidi ndani ya bara hili na top 60 ya nchi tajiri duniani itakuemo vizuri tu.

Kwaio trilion 424 si ni sawa tu na matajiri watano wakubwa duniani wote wanyang'anywe mali zao ipewe ile nchi? Tobaa mbona tunaskia Bill Gates peke ake ana uwezo wa kuwapa buku buku watu wote duniani na chenchi ikabaki, jumlisha na wenzake tena?

Mambo nisiyopenda kuyaona africa ni eti kuchukua begi moja kubwa sanaa kwenda kununua tu nyanya sokoni, kua na noti hadi za milion 10.

Nliskia et Africa kuna shule za mabweni wanafunzi wake wanawekewaga mafuta ya taa kwenye vyakula vyao, au labda athari zake ndizo hizi sasa.

Tuache utani tuwe serius, haya ni mazingaombwe na yana aibisha watu wa ile nchi na kuonekana wao na shule ni mbali mbali.

NB. Hakuna nchi yoyote iliyotajwa jina hapa, tafadhali bhana tuheshimiane oooh.
Dah....
Acacia Mining losing $1m a day due to Tanzania export ban
 
Kampuni ambayo haijasajiliwa inapelekewa makadilio hii ni mbinu ya kuamisha mjadala wa lisu tuangalie hotuba za mipasho singida
 
Hivi ni kweli hawa waliopeleka hii assessment ya kodi kwa ilo shirika walipata kiasi icho? Jamni mbona hii ni hatari sasaa? Kiasi icho sasa ni trilion kama za zimbabwe au kama za hizi nchi zingine? hio kampuni inaweza kutoa wapi? Au wale wamejiandikia tu basi flani aone?

Figure hio ni sawa na kumpelekea muuza mkaa makadirio ya kodi ya gunia zake za toka 2013 hadi 2017 ziligharimu msitu mzima wa mbuga ya serengeti.

Tutumie elimu na weledi wetu vizuri waungwana, tueleweshane tu, africa moja hii, maana kuna mambo mengine unayaskia redion unajua labda mtangazaji kakosea kusema kiasi husika.

Endapo nchi yoyote ya kiafrica ikipata trilioni 424 papo kwa hapo basi itakua ni nchi ya nne kwa kua na uchumi mkubwa zaidi ndani ya bara hili na top 60 ya nchi tajiri duniani itakuemo vizuri tu.

Kwaio trilion 424 si ni sawa tu na matajiri watano wakubwa duniani wote wanyang'anywe mali zao ipewe ile nchi? Tobaa mbona tunaskia Bill Gates peke ake ana uwezo wa kuwapa buku buku watu wote duniani na chenchi ikabaki, jumlisha na wenzake tena?

Mambo nisiyopenda kuyaona africa ni eti kuchukua begi moja kubwa sanaa kwenda kununua tu nyanya sokoni, kua na noti hadi za milion 10.

Nliskia et Africa kuna shule za mabweni wanafunzi wake wanawekewaga mafuta ya taa kwenye vyakula vyao, au labda athari zake ndizo hizi sasa.

Tuache utani tuwe serius, haya ni mazingaombwe na yana aibisha watu wa ile nchi na kuonekana wao na shule ni mbali mbali.

NB. Hakuna nchi yoyote iliyotajwa jina hapa, tafadhali bhana tuheshimiane oooh.
Hii hesabu tunayodai imetuletea aibu kubwa sana. Tanzania itakuwa ni nchi ya kwanza kutoza kodi kubwa duniani . Hii ni hesabu ya Acacia pekee yake ambayo imewekwa hadharani je kuna wafanyabiashara wangapi wazawa ambao wamepigwa kodi kubwa za aina hii. Majuzi tumesikia vituo vya Mafuta kufungiwa kwa kukosa mashine za EFD sasa vituo vingi vimefunguliwa baada ya kulipa mamilioni ya shilingi bila kupewa EFD machine je nia ya serikali ilikuwa kuwatoza hawa wafanyabiashara Mafuta fedha zao hizo ? Kwanini serikali ikubali kupokea pesa bila kuwapa hizo mashine vituo hivyo.
 
Awamu hii kweli tumechemka hasa!! Turudi kwenye misingi!! Viongozi w juu waandaliwe wawe na elimu pana ya uchumi diplomasia uchumi ulinzi na usalama kidogo....tusikurupuke kusema kila mtu akachukue form tu hapana!!! Tuwaandae viongozi!!!!!

Mkuu swala hapa ni hao watu wa mahesabu tu yaani wanatumia kanuni gani kupata izo figure? Walisoma wapi?
 
Hii hesabu tunayodai imetuletea aibu kubwa sana. Tanzania itakuwa ni nchi ya kwanza kutoza kodi kubwa duniani . Hii ni hesabu ya Acacia pekee yake ambayo imewekwa hadharani je kuna wafanyabiashara wangapi wazawa ambao wamepigwa kodi kubwa za aina hii. Majuzi tumesikia vituo vya Mafuta kufungiwa kwa kukosa mashine za EFD sasa vituo vingi vimefunguliwa baada ya kulipa mamilioni ya shilingi bila kupewa EFD machine je nia ya serikali ilikuwa kuwatoza hawa wafanyabiashara Mafuta fedha zao hizo ? Kwanini serikali ikubali kupokea pesa bila kuwapa hizo mashine vituo hivyo.

Mkuu mambo mengine yanayoendelea hapa nchini yanaumiza sanaa kichwa kuyafikiria.
 
Back
Top Bottom