Trilioni 1.5 zinawezekana zilitumika hivi

ntemintale

JF-Expert Member
Sep 6, 2016
952
1,872
Kununua ndege kwa cash na kulipa faini kule canada ilikoshikiliwa bombardier, bila kuidhinishwa na Bunge. Na tena bila kufuata utaratibu wa manunuzi. Kwa hiyo kuna cha juu.

Kujenga airport kijijini Chato nje ya bajeti na bila kufuata taratibu za ujenzi.

Kujenga ofisi ya TRA ghorofa moja kijijini.

Kununua wabunge na madiwani wa Upinzani.

Kusafiri safiri huku na kule na limsafara likubwa, kwenda kufungua viwanda vilivyokuwepo tangu enzi za mwalimu, kwa lengo la kutudanganya wananchi.

Zilizobaki wamegawana Sizonje, Bashite na yule PS wa Wizara ya Fedha. Tena wamegawana cash kabisa coz wao ni watu wa cash tu.
 
Ongezea nyingine; Kumpa pesa Lowassa ili ainunue CHADEMA!
 
Jaman jaman yunajichanganya sana. Ripoti ya CAG ni ya mwaka 2016/2017 . hayo ya kununua madiwani au kulipa fine Canada hayaingii humo, hayo ni 2017/2018.
Kwa mfumo wa accrual hili linawezekana
 
Si ndio aliziiba huko 2016/17 na sasa kaja kuzitumia 2017/18
Jamaa alidhani fedha ambazo hazionekani kwa mwaka wa fedha 2016/2017 ni lazima zitumike mwaka huo huo wa fedha!?

Tena usikute hadi leo hii kuna chenji chenji zimebakia kidogo.
 
Kuna mtu alisema sijui jamaa amekosea wapi.....mbona alianza vizuri tu.

Ila leo hii wananchi wengi wamepoteza matumaini kabisa na awamu hii na sasa haya mambo ya 1.5 trln ndio kabisa yameifanya hii awamu kuwa na skendo kubwa kuliko awamu zote zilizopita combined
 
Kununua ndege kwa cash na kulipa faini kule canada ilikoshikiliwa bombardier, bila kuidhinishwa na Bunge. Na tena bila kufuata utaratibu wa manunuzi. Kwa hiyo kuna cha juu.

Kujenga airport kijijini Chato nje ya bajeti na bila kufuata taratibu za ujenzi.

Kujenga ofisi ya TRA ghorofa moja kijijini.

Kununua wabunge na madiwani wa Upinzani.

Kusafiri safiri huku na kule na limsafara likubwa, kwenda kufungua viwanda vilivyokuwepo tangu enzi za mwalimu, kwa lengo la kutudanganya wananchi.

Zilizobaki wamegawana Sizonje, Bashite na yule PS wa Wizara ya Fedha. Tena wamegawana cash kabisa coz wao ni watu wa cash tu.
Kuna wakati ccm ilishindwa kulipa mishahara wafanyakazi wake mpaka siku mwenyekiti wao alipokwenda Lumumba na kuamuru walipwe mara moja, sasa pesa za kulipa zilipatikana wapi ghafla hivyo?
 
Na kuendeshea mkutano mkuu zimetoka hapohapo
 
Nilikuwa nichukue kadi ya CCM lakini ukiwa huko unakuwa mjinga sana. On Dk Magu sasa alivyo!
 
Back
Top Bottom