Panda kibajaji twende (click kibajaji)
[post=4509821][/post]
Hahaha, chief umetisha na kibajaji clicking...
Panda kibajaji twende (click kibajaji)
[post=4509821][/post]
Panda kibajaji twende (click kibajaji)
[post=4509821][/post]
Majizi ys kutupwa haya
baada ya simu za java na symbian now tujaribuni kutumia vodacom free internet kwa android.
Ch kwanza download operamini apk handler kutoka link hio apo chini
Next Generation Mobile Software
Hio opera ina trick 2 za kupata net bure.
trick ya 1
Tengeneza setting hizi katika simu yako
Unaweza tumia existing access point au ukacreate new access point
Access point name (apn) eka internet
Ip eka 80.239.242.253
Port eka 80
Ukimaliza fungua opera handler yako uliyo download
Shuka chini proxy type eka http na proxy server andika 0.facebook.com
Ur done enjoy free net
trick ya 2
Trick hii ni rahisi tumia access point yako ya kawaida halafu fata maelezo haya
Uta open opera hadler ulodownload
Proxy type eka real host
Proxy server eka 0.facebook.com
Ur done enjoy free net
NOTE: trick ya kwanza ni ngumu kueka ila ina faida unadownload files kubwa (zaid ya mb 100)
Trick ya pili ni rahisi ila utadownload file ndogo kama miziki na short clips mb 5 hivi
inakuaje nashindwa kuinstall iyo operamini ikiwa zipped...naiunzip lakini bado nashindwa kuiinstal
Me mwenyewe naface the same problem, nkiliunzip ilo file thn yanakuja mafile kadhaa ambayo yote hayafunguki.. msaada jaman 2pate uhondo na sisi
kuna file linakua zipped na kuna file linakua renamed liwe zip (kuavoid mambo ya copyright)
so kwanza unzip file ukiona yanakuja mengi kama unavosema kama file manifest na classes then rename file lako
mfano file linaitwa firewall.zip rename liwe firewall.apk then jaribu kuinstall maybe itasaidia
-then la muhimu zaidi make sure una simu ya android
Wewe hujawahi kuiba???Badala ya kujadili ku create something new katika njanja ya technology mnawaza kuiba tu...Akili za mbayuwayu changanya na zako
Badala ya kujadili ku create something new katika njanja ya technology mnawaza kuiba tu...
Akili za mbayuwayu changanya na zako
Hii kauli kama umeielewa vizuri hata wewe inakuweka hatianiAkili za mbayuwayu changanya na zako
mweh...mbona kwangu sipaoni pa kuweka IP address?..........
mimi natumia ideos, nikitaka kuinstall inagoma. msaada please.