Treni za Japan zinaweza kutembea kilomita 823 kwa dakika 10 tu

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,722
Kiukweli wajapani naweza sema ni watu wa dunia nyengine kuanzia maisha yao mpaka teknolojia zao.

Sisi ndio tunafikiria kuleta SGR wao wanafikilia kutengeneza treni itakayo weza kufika kwa mda mfupi.

Spidi ya treni ni 7600km/h na unaweza kufanya kazi dar es salaam ukaishi singida.

Kilicho ni furahisha kuhusu hizi treni jinsi miundo mbinu yake na mifumo ya teknolojia.

Kama nchi yetu ingekuwa na uwezo wa kufanya haya basi tusingejikita sana na ndege za ndani na kuachia kampuni binafsi

IMG_5409.jpg
 
View attachment 2145269
Mzee wameandika kabisa hapo chini simulation halafu unakuja kutuletea humu.

Umesoma shule gani mzee!?
Nimeweka screenshot hii ili usije ukafuta picha. Watu wote wakuone namna ulivyo mbumbumbu.
Screenshot_20220310-092704.png
 
Kiukweli wajapani naweza sema ni watu wa dunia nyengine kuanzia maisha yao mpaka teknolojia zao.

Sisi ndio tunafikiria kuleta SGR wao wanafikilia kutengeneza treni itakayo weza kufika kwa mda mfupi.

Spidi ya treni ni 7600km/h na unaweza kufanya kazi dar es salaam ukaishi singida.

Kilicho ni furahisha kuhusu hizi treni jinsi miundo mbinu yake na mifumo ya teknolojia.

Kama nchi yetu ingekuwa na uwezo wa kufanya haya basi tusingejikita sana na ndege za ndani na kuachia kampuni binafsi

View attachment 2145269
Picha na ulichoandika vinakinzana
 
Mind the word "IMAGINARY" tafsiri rahisi ni "yakufikirika".

Mpaka sasa rekodi ya dunia ya treni iliyotembea kasi ni kilometer 603 kwa saa. Sasa mzee unajua maana ya km800+ kwa dakika kumi maana yake?

Hiyo ni hyper loop na lazima iwe na madhara kwenye mwili wa binadamu. So far ni story za kufikirika tu.
 
Back
Top Bottom