Treni Yagonga Gari Makusudi

Treni Yagonga Gari Makusudi

ni kituo cha mwananchi tabata.
Treni ameligonga kwa makusudi gari lilikuwa limekwama kutokana na traffic jam inayosababishwa na marori maeneo hayo ya relini.
Mara baada ya kuligonga gari ikiwa mwendo
mdogo kabisa lilirudi nyuma kuchukua abiria na kuendelea na safari.n
gari hiyo aina ya defender iliachwa nyanganyanga

nimekuwa nikiudhiwa sana na wajinga wanaokupigia honi unapoacha nadfasi kwenye kivuko cha reli au njia panda! Udereva wa kupewa leseni bila kusomea ndio tatizo! Ni ujinga na upumbavu wa hali ya juu na umesababisha vifo vya wengi bila sababu. Akili yako inakutuma ukikuta nafasi hata kama ni relini au njia panda basi unaziba nafasi badala ya kuacha mwanya ambao ni salama kwako na kwa wengine! Na iwe fundisho kwa wote!
 
Huyu dereva wa hiyo treni ni mataakoo sana.....
Hata kama uko sawa kisheria, haimaanishi ugonge wakati unaweza kuepuka!!!
Busara zikitumika ipasavyo kuna mambo mengine wala hayahitaji sheria...
Treni sio vitz....
 
Huyu dereva wa hiyo treni ni mataakoo sana.....
Hata kama uko sawa kisheria, haimaanishi ugonge wakati unaweza kuepuka!!!
Busara zikitumika ipasavyo kuna mambo mengine wala hayahitaji sheria...

hebu ficha up......vu wako! sitaki kuamini kuwa wewe ni kilaza kiasi hicho!Hekima ya namna gani ulitaka itumike?Angeepukaje kuigonga gari hiyo?kwa kutoka kwenye rail na kupita pembeni?au kwa kufunga breki za ghafla?unayajua madhara ya breki za ghafla kwa treni?Unajua ni muda gani na kwa umbali gani treni inaweza kusimamishwa na ikakubali kusimama?kabla hujaandika jaribu kukifahamu unachotaka kukiandika.
 
Kwa sheria za nchi hii hapo sio treni imegonga gari bali ni gari limegonga treni,labda ungesema yule (hivi muongoza treni anaitwa nani?) angepunguza mwendo na kumsubiri mwenye gari atoe hilo gari lake.Ila kisheria hapo treni iko sawa

Sheria ipi? Quote provision please
 
Kijana naona umekua kabisa....hadi unatukana wakubwa zako...
Umesoma bandiko la kwanza???? Spidi yako ya kuandika ni kubwa kuliko ya ubongo wako kufikiri....

hebu ficha up......vu wako! sitaki kuamini kuwa wewe ni kilaza kiasi hicho!Hekima ya namna gani ulitaka itumike?Angeepukaje kuigonga gari hiyo?kwa kutoka kwenye rail na kupita pembeni?au kwa kufunga breki za ghafla?unayajua madhara ya breki za ghafla kwa treni?Unajua ni muda gani na kwa umbali gani treni inaweza kusimamishwa na ikakubali kusimama?kabla hujaandika jaribu kukifahamu unachotaka kukiandika.

Ni kituo cha mwananchi tabata.
Treni ameligonga kwa makusudi gari lilikuwa limekwama kutokana na traffic jam inayosababishwa na marori maeneo hayo ya relini.
Mara baada ya kuligonga gari ikiwa mwendo
mdogo kabisa lilirudi nyuma kuchukua abiria na kuendelea na safari.n
Gari hiyo aina ya defender iliachwa nyanganyanga
 
Huyu dereva wa hiyo treni ni mataakoo sana.....
Hata kama uko sawa kisheria, haimaanishi ugonge wakati unaweza kuepuka!!!
Busara zikitumika ipasavyo kuna mambo mengine wala hayahitaji sheria...

Yaan dereva wa defender angetumia ushauri wako.huu uzi wala usingekuwepo.Kutetea mkosani ni zaidi ya kuwa ------ sanaaa
 
Kwa sheria za nchi hii hapo sio treni imegonga gari bali ni gari limegonga treni,labda ungesema yule (hivi muongoza treni anaitwa nani?) angepunguza mwendo na kumsubiri mwenye gari atoe hilo gari lake.Ila kisheria hapo treni iko sawa

Kaka siyo sheria ya nchi hii mkuu na sehemu nyingine hata nje ya nchi no hvyo mkuu.....haitakiwi kuweka gari kwenye leli km limeharibika angesukuma kutoa gari
 
Hata mimi nimefungua haraka treni ilitoka kwenye reli. Uderva wa mazoea ni hatari. Je trafiki wamepima? Huyo dereva wa defenda anayo kesi ya kujibu. Makosa yake ni 1. Kendesha bila ya kuchukua tahadhari i.e alama za barabarani; 2. Kusimama kwenye njia ya reli kwa minajili ya kuizuia; 3. Kusababisha ajali; 4. Kusababisha usumbufu kwa watumiaji wengine wa barabara; kama alikimbia - 5. Kukimbia baada ya kusababisha ajali (ikiwa kama hakukuwa na ulazima kadiri ya mazingira ya ajali i.e kuokoa maisha yake); 6. ......
Kwa bahati mbaya kwa sasa sitoweza kuweka bayana vifungu vya sheria. Pole yake: bima itamkana, na anaweza kunyea ndoo. Sijui mtasema shetani ndiye aliyesababisha!

duh makosa yote hayo? lazima afungwe.
 
Kwa sheria za nchi hii hapo sio treni imegonga gari bali ni gari limegonga treni,labda ungesema yule (hivi muongoza treni anaitwa nani?) angepunguza mwendo na kumsubiri mwenye gari atoe hilo gari lake.Ila kisheria hapo treni iko sawa
Sio sheria za nchi hii, hii ni sheria ya kimataifa kwa garimoshi kugongwa hashwa na magari.
 
tuwe tunafwata taratibu na sheria zilizowekwa, na akili na busara pia.
watanzania tumekuwa na tatizo sugu la kutofwata sheria na taratibu za nchi. huo ulikuwa uzembe uliotokana na kutotaka kufwata sheria ya kutokaa katika reli.
sasa hv waenda kwa miguu wengi wamekuwa wakigongwa na magari kwa kutovuka katika sehemu maalumu za kuvukia waenda kwa miguu unakuta kila mtu kwa wakati wake sehemu yoyote ya barabara anachomoka na kuvuka barabara. hii inawaletea shida sana waendesha vyombo vya moto.
bodaboda wamekuwa wapita ovyoovyo tu akiona upenyo kakatiza na kusababisha ajali nyingi ambazo zingeepukika.

tujenge utamaduni wa kufwata sheria na taratibu za nchi. ndio maana tukienda nchi za wenzetu tunapata shida kwa sababu wenzetu wako vizuri katika kufwata sheria.

SAFI SANA IRON LADY NAKUONA HATA KWA PICHA YAKO U CHUMA KWELI!
Aisee treni la Mwakyembe limethibitisha kuwa tuna kiwango kikubwa na cha ajabu cha kutofuata sheria nchini! kila siku wanagongwa kijinga kabisa
 
Leo ni ajali ya pili hiyo maana asubuhi sana rav 4 imegonga garimoshi hilo kwenye makutano ya barabara ya kuelekea shekilango na ubungo maziwa.
 
Treni hata ikigonga kwa makusudi, anayeshitakiwa ni dereva wa gari!. Niliwahi kupata ajali ya aina hii pale Dodoma, dereva alitaka kuvuka, kapigiwa honi akapanic, akashuka na kutokomea, mimi nikabaki ndani ya gari, treni ikalipush gari..kule!, nikatoka bila hata ya scratch!. Ilibidi tushtakiwa, kuna mtu akaokoa jahazi!.
Pasco.
 
Ni kituo cha mwananchi tabata.
Treni ameligonga kwa makusudi gari lilikuwa limekwama kutokana na traffic jam inayosababishwa na marori maeneo hayo ya relini.
Mara baada ya kuligonga gari ikiwa mwendo
mdogo kabisa lilirudi nyuma kuchukua abiria na kuendelea na safari.n

Gari hiyo aina ya defender iliachwa nyanganyanga

operator wa treni nadhani alikuwa anataka sifa au alikuwa na visa na mwenye gari,shida yake ilikuwa kumgonga tu na sio haraka,kama baada ya kumgonga alirudi kuchukua abiria huyu alikuwa na yake
 
Leo ni ajali ya pili hiyo maana asubuhi sana rav 4 imegonga garimoshi hilo kwenye makutano ya barabara ya kuelekea shekilango na ubungo maziwa.

Madereva wa Dar wazembe sana.
 
Treni haigongI gari ni gari limegonga train hii ni sheria ya duniani kote, ndio maana lina njia yake peke yake.
 
Madereva wa Dar wazembe sana.

Uzembe wa madereva ni upande mmoja.....
Kisheria treni haigongi....ila kuna taratibu wanapaswa kuzifuata ili kulinda watu na magari yanayovuka treni. Kama eneo lina magari mengi wanapaswa kuweka geti na taa za kizuia magari pindi treni inapokaribia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom