HumjuiMovie inaendelea mpaka nimuone sterling
Mkuu, kwa jpm inawezekana kwa maana kila anachokiongea ndio anachokitimiza.Tujiandae kuishi kama mashetanani kwa kulazimisha hata visivyowezekana.
safari zake zilikua na maana tu. huyu anafanya walipoishia wenzake. barabara nchi nzima na madaraja yote sio mchezo. kujenga ofisi za wizara zote na idara mbalimbali za magorofa, sio mchezo. kumalizia uwanja wa wa taiffa na udom ambavyo viliachwa ktk hatua za awali sio mchezo. kuajiri na kulipa mishahara na kupandisha madaraja na mishahara sio mchezo. labda kwaku huyu haajiri na pia hapandishi madaraja wala mishahra. ila huo ni ubinafsi. kwakua yy yuko kwenye ugali, ndio maana hawaangalii wengine. wakati mwingine hata yy anatamani asafiri, ila kuna sabu zake binafsi(sio kwa ajili yetu sisi) zinamzuia. kila siku kuagiza makamu wake na wairi mkuu, kwani hizo sio safari za nje?Kila kitu kinawezekana, watanzania bado wana ile dhana waliyojengewa tangu awali kuwa Tanzania ni maskini, na hakuna linalowezekana nchini...
Kwa hiyo kwa sasa ndo serikali hii inawaambia kuwa kila kitu kinawekana, na wao hawaamini hadi waone...
Zile safari alizofanya JK. miaka 10 yake, Zaidi ya safari 400, pesa hizo zingefanya mambo makubwa sana chini
Tram isiyotumia reli labda Mkuu tutasikio na kuona mengiLABDA WATOE BRT WAWEKE TRENI. TRAMVAI
Roho ya kitumwa.Sina chama chochote tz na wala sitashabikia ila raisi aliye madarakani ningependa atawale mpaka mwisho kwani anafanya kile nachohitaji mwengine wa nini sasa
Kila kitu kinawezekana, watanzania bado wana ile dhana waliyojengewa tangu awali kuwa Tanzania ni maskini, na hakuna linalowezekana nchini...
Kwa hiyo kwa sasa ndo serikali hii inawaambia kuwa kila kitu kinawekana, na wao hawaamini hadi waone...
Zile safari alizofanya JK. miaka 10 yake, Zaidi ya safari 400, pesa hizo zingefanya mambo makubwa sana chini
Rais alinambia nijivunie nchi yangu so najivunia lete hyo kitu baba presdaaView attachment 408957
Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais John Pombe Magufuli imepanga kununua treni ya umeme inayotarajiwa kuwasilini nchini mwezi Juni, 2017.
Treni hiyo inatarajiwa kufanya safari katika jiji la Dar es Salaam. Rais Magufuli amesema serikali inauwezo wa kutekeleza ahadi hiyo kwa kuwa fedha za kununulia treni hiyo zipo.
Pia Rais Magufuli amesema serikali iko katika harakati za uboreshaji na ujenzi wa miundo mbinu ya usafiri, ikiweno ujenzi wa reli za kisasa kuanzia Dar es Salaam, Mwanza na nchi jirani ikiwemo ya Rwanda.
Vile vile serikali yake iko katika hatua za ujenzi wa daraja la kisasa litakalo anzia maeneo ya daraja la Sarenda litakalo pitia baharini.
Hadi sasa miradi mbalimbali ya ujenzi wa miundombinu inaendelea nchi nzima ikiwemo mradi wa barabara za juu (Flyover) maeneo ya Tazara.
Aidha, Dk. Magufuli amesema serikali yake iko katika hatua za kutengeneza na kuboresha miji yake ili iwe ya kisasa.
Sitaki kupinga ila kufanikisha hilo swala kwa hiyo timeline ni next to impossible, tutakuwa tunadanganyana tu