Treni ya Umeme inakuja July Mwakani, kulingana na maelezo yako
Reli ya kisasa itaanza kujengwa lini na itakamilika lini?
Utotole;
Hilo ndo swali. Inaletwa iwekwe kwanza stoore au? Kwani, japo miye ni mshamba flan, sidhani ka zinatembea juu ya reli ya Tazara au Trl. Sasa, kipi kinatakiwa kuanza, treni au reli?? Hebu tuwekeni sawa wajameni. Nitafurahi sana ka uliyeleta hoja utasema kuwa njia yake itaanza kutengenezwa mwakani.
Naona kosa la sekondary za kata linataka kutokea tena hapa. Kujenga majengo na kuandikisha wanafunzi kabla ya kuandaa waalim. Mliona mlichofanya. Sekondary yenye Form 1 hadi 4 ina waalim 2 tu bila hata mlinzi.