Treni ya umeme inakuja July 2017

Treni ya umeme inakuja July 2017

View attachment 408957

Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais John Pombe Magufuli imepanga kununua treni ya umeme inayotarajiwa kuwasilini nchini mwezi Juni, 2017.

Treni hiyo inatarajiwa kufanya safari katika jiji la Dar es Salaam. Rais Magufuli amesema serikali inauwezo wa kutekeleza ahadi hiyo kwa kuwa fedha za kununulia treni hiyo zipo.

Pia Rais Magufuli amesema serikali iko katika harakati za uboreshaji na ujenzi wa miundo mbinu ya usafiri, ikiweno ujenzi wa reli za kisasa kuanzia Dar es Salaam, Mwanza na nchi jirani ikiwemo ya Rwanda.

Vile vile serikali yake iko katika hatua za ujenzi wa daraja la kisasa litakalo anzia maeneo ya daraja la Sarenda litakalo pitia baharini.

Hadi sasa miradi mbalimbali ya ujenzi wa miundombinu inaendelea nchi nzima ikiwemo mradi wa barabara za juu (Flyover) maeneo ya Tazara.

Aidha, Dk. Magufuli amesema serikali yake iko katika hatua za kutengeneza na kuboresha miji yake ili iwe ya kisasa.
Nashindwa kuvumilia kumpongeza huyu Rais. He real genius
 
Hili linawezekana, ila watu mlivyokaa mnasema afanye kazi afanye kazi, labda swali langu kwenu, nyie mmekaa mnafanya nini? kujenga taifa ni kazi ya wananchi wote.

Umeuliza swali la msingi sana!
 
Kila kitu kinawezekana, watanzania bado wana ile dhana waliyojengewa tangu awali kuwa Tanzania ni maskini, na hakuna linalowezekana nchini...

Kwa hiyo kwa sasa ndo serikali hii inawaambia kuwa kila kitu kinawekana, na wao hawaamini hadi waone...

Zile safari alizofanya JK. miaka 10 yake, Zaidi ya safari 400, pesa hizo zingefanya mambo makubwa sana chini
Watu wamepanic sana na kuombea kila Kitu anachopanga Mh. Rais kisiwezekane, lakini cha ajabu mafanikio ndio yanazidi tu kila kukicha. Tunakutakia kila la Kheri Mh. Rais, watanzania wachache sana wanaochukizwa na kujitolea kwako, ila wengi tunazidi kukuombea.
 
ahadi zinaendelea sijui kampeni hazijaisha bado? tuliambiwa fly over ikaja njia sita ikaja reli ya standard gauge,zote zimebaki kwenye makaratasi yao na miaka inakwenda kasi tu
 
Unamaanisha ndani ya miezi 9 ijayo!? Nway infrastructure za train ya umeme zishaandaliwa!? Na umeme upi!? Maana kama wa tanesco hii train si yaweza kukwama njian!?
 
View attachment 408957

Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais John Pombe Magufuli imepanga kununua treni ya umeme inayotarajiwa kuwasilini nchini mwezi Juni, 2017.

Treni hiyo inatarajiwa kufanya safari katika jiji la Dar es Salaam. Rais Magufuli amesema serikali inauwezo wa kutekeleza ahadi hiyo kwa kuwa fedha za kununulia treni hiyo zipo.

Pia Rais Magufuli amesema serikali iko katika harakati za uboreshaji na ujenzi wa miundo mbinu ya usafiri, ikiweno ujenzi wa reli za kisasa kuanzia Dar es Salaam, Mwanza na nchi jirani ikiwemo ya Rwanda.

Vile vile serikali yake iko katika hatua za ujenzi wa daraja la kisasa litakalo anzia maeneo ya daraja la Sarenda litakalo pitia baharini.

Hadi sasa miradi mbalimbali ya ujenzi wa miundombinu inaendelea nchi nzima ikiwemo mradi wa barabara za juu (Flyover) maeneo ya Tazara.

Aidha, Dk. Magufuli amesema serikali yake iko katika hatua za kutengeneza na kuboresha miji yake ili iwe ya kisasa.
mkuu swala la july mwakani sikulisikia kwenye hotuba ya Rais lakini nilisikia kuna mpango huo...
 
View attachment 408957

Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais John Pombe Magufuli imepanga kununua treni ya umeme inayotarajiwa kuwasilini nchini mwezi Juni, 2017.

Treni hiyo inatarajiwa kufanya safari katika jiji la Dar es Salaam. Rais Magufuli amesema serikali inauwezo wa kutekeleza ahadi hiyo kwa kuwa fedha za kununulia treni hiyo zipo.

Pia Rais Magufuli amesema serikali iko katika harakati za uboreshaji na ujenzi wa miundo mbinu ya usafiri, ikiweno ujenzi wa reli za kisasa kuanzia Dar es Salaam, Mwanza na nchi jirani ikiwemo ya Rwanda.

Vile vile serikali yake iko katika hatua za ujenzi wa daraja la kisasa litakalo anzia maeneo ya daraja la Sarenda litakalo pitia baharini.

Hadi sasa miradi mbalimbali ya ujenzi wa miundombinu inaendelea nchi nzima ikiwemo mradi wa barabara za juu (Flyover) maeneo ya Tazara.

Aidha, Dk. Magufuli amesema serikali yake iko katika hatua za kutengeneza na kuboresha miji yake ili iwe ya kisasa.
time will tell
 
06c1b297e3102cc648160f084c31ec22.jpg

Throwback thursday
 
Movie inaendelea mpaka nimuone sterling
Watu wana hofu tu. Kujenga treni ya umeme haichukui muda mrefu siyo gharama kubwa. Serikali inaweza jenga under PPP law. Ulaya ni vitu vya kawaida. You must think big.Nampongeza JPM ktk hili. It is very possible kutekelezwa. Maendeleo ni kuthubutu(to dare). Ukiwa na hofu huwezifanya jambo la maendeleo.
 
Uhakiki kwa mwezi mmoja na nusu hadi miezi miwili baada ya hapo ...........!sasa ni miezi mingapi...?.???
 
Nasikia hizo treni ni new model ambazo kwa zile ziendazo mikoani zitakuwa zinapita kwenye nyaya za umeme mkubwa na city trains zitakuwa zinapita kwenye nyaya za umeme mdogo! Hongera Mheshimiwa...
 
Back
Top Bottom