Treni ya deluxe ya majaribio ilivyo pokelewa na wananchi ikielekea moshi

Mara mbili tu kwa wiki? Hebu ongezeni angalau kila baada ya siku moja - Jumatatu, Jumatano, Ijumaa, Jumamosi
 
CCM mnamatatizo ya kujali sifa na kutukuzwa kwenye mambo yasiyo yenu pekee kimsingi

Tunalipa kodi wote,

1. Polepole anaingiaje hapa na mageanda ya kijani?

2. Hamuoni mnadhalilisha walipakodi wengine hususani wa vyama vinginevo nje ya ccm

Kwanini asishiriki muwakilishi wa kisekali mfano waziri, mkuu wa mkowa nk ilikuieweka kitaifa zaidi ya kiccm?
 
Isije ikachukuliwa na huyu kiazi...
IMG_20191123_174152.jpeg
 
Waache washereheke. Na hao wapinzani nao washereheke pamoja kwani watatumia wote
 
Back
Top Bottom