we move one step ahead every year.. 20014 watajipanga. Vumilieni watu wa dar
Inaelekea Mh. Mwakyembe amekurupuka kwa nia ya kutafuta umasrufu. Town train gani ikishapita usubirie masaa! Si ndio watu badala ya kuwahi kazini watachelewa zaidi!
Halafu town train zenyewe za kuchakachua kwa kuokoteza na kuunga unga. kwa nini wasiokoteze na kuunga mengi yapite kila baada ya robo saa?
Any way miongoni mwa mafisadi angalau Mwakyembe ameonyesha ubunifu, tumuunge mkono labda siku nyingine atakuja na town train za ukweli badala ya kuendeleza mfumo wa uchakachuaji

Huu ni mwanzo nani kakuambia ndo mwisho wa project? Pili hapo kwenye blue, elimu yako ya kiswahili inaonyesha shule za kata ni janga la kitaifa.sio wote 5 mil..wanaishi UBUNGO CHAMUHIM LAZIMA RELI ZIWE 2 THE TREN KILA DAKIKA 20 IJE NYINGINE HAPO KIDOGO ITASAIDIA KUPUNGUZ kelo waonge na NSSF waongezee mtaji kwani gharama zitarudi mapema
Nadhani wakiiga ndugu zetu wa India watagundua kwamba hata juu na penyewe panakalika
![]()
sio wote 5 mil..wanaishi UBUNGO CHAMUHIM LAZIMA RELI ZIWE 2 THE TREN KILA DAKIKA 20 IJE NYINGINE HAPO KIDOGO ITASAIDIA KUPUNGUZ kelo waonge na NSSF waongezee mtaji kwani gharama zitarudi mapema
Hayahayaa Dr mwakyembe kazi ni kwako kula vichwa hvyo laki nne mnaikosa hivi hivi kwa siku,je kwa mwaka sh ngapi mnapoteza?
Inaelekea Mh. Mwakyembe amekurupuka kwa nia ya kutafuta umasrufu. Town train gani ikishapita usubirie masaa! Si ndio watu badala ya kuwahi kazini watachelewa zaidi!
Halafu town train zenyewe za kuchakachua kwa kuokoteza na kuunga unga. kwa nini wasiokoteze na kuunga mengi yapite kila baada ya robo saa?
Any way miongoni mwa mafisadi angalau Mwakyembe ameonyesha ubunifu, tumuunge mkono labda siku nyingine atakuja na town train za ukweli badala ya kuendeleza mfumo wa uchakachuaji
kauli yako imenitia hasira sana..tafakari.