Transportation company

Shigo Siyc

Member
Nov 28, 2011
14
0
Hivi natakiwa nisome masomo gani nikiwa hiph school niweze kufikia lengo la kuwa na transportation company..
 
Kaka kama lengo lako ni kuanzisha tu soma koz unayoiweza na ume plan. Huwez kusoma artificial intelligence kama hata hesabu za log ni tatizo. soma koz yoyote ila kama unataka kuwa mwanzilishi mwenyewe na mkurugenz mwenyewe bora usome mambo hayo ili kupunguza mzigo wa kuajir mtaalamu na hali kampuni ni mpya. Maana salary lazima umpe more than 3Mn per month
wasikilize wengne mie c mjuz wa hili
 
Kasome Business Administration in (General) au specialize kwenye logistics management nadhani Chuo cha Mzumbe wanayo au Transport and logistic Mng ya NIT..ila kwa high school soma EGM, HGE, ECA, na PCM hz Comb ndo zitakuwezesha kuja kusoma hz program kwa urahisi kidogo ukifika chuo, tofauti na ukiwa umesoma HKL, HGL au HGK, manake ni kozi zinazohitaji uwe na idea ya Hesabu, Economics au Accounting
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom