Kwa wadau wote!
Nilitakanininue domain name,lakini nikaona ntakua naendesha site kwa gharama flani
ambapo sikuwa nauhakika kama member wangekuwa tayari ku-share!
Hivyonikafikiria bora nifungue page katika blog yangu ambayo itakuwa inadeal na ishu hiyo
kwa kuwa blog ni bure basi running cost itapungua hivyo member watasoma free;ambapo
payment itafanyika kwa hiari yaani "donation" kwa yule atakaye jisikia.Kwasababu
licha ya kuwa saver ni bure lakini kuna cost nyingine kama time na air-internet bundles!
Kila kitu kipo tayari kuanzia kesho nitaanza ku-publish!Unaweza uka bookmark na kuwa member kabisa wa blog yangu
hii
HAPA ambapo shule hii itakuwa inafanyika add membership now!