transistor ulisema unaanzisha website ili tujoin kwa tunaopenda kujifunza electronix,

Transistor

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
843
1,000
vp sasa umefikia wap? Transistor
Kwa wadau wote!

Nilitakanininue domain name,lakini nikaona ntakua naendesha site kwa gharama flani
ambapo sikuwa nauhakika kama member wangekuwa tayari ku-share!

Hivyonikafikiria bora nifungue page katika blog yangu ambayo itakuwa inadeal na ishu hiyo
kwa kuwa blog ni bure basi running cost itapungua hivyo member watasoma free;ambapo
payment itafanyika kwa hiari yaani "donation" kwa yule atakaye jisikia.Kwasababu
licha ya kuwa saver ni bure lakini kuna cost nyingine kama time na air-internet bundles!

Kila kitu kipo tayari kuanzia kesho nitaanza ku-publish!Unaweza uka bookmark na kuwa member kabisa wa blog yangu

hii HAPA ambapo shule hii itakuwa inafanyika add membership now!
 
snipa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
4,143
2,000

.
Nime ku quote hapa mkuu
.
ELECTRONICS,PIA UTAFURAHIA LAYOUTS
ABAZO ZIMEHAKIKIWA
.
Heheee joking! But fix it please
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom