Transfoma yalipuka jirani na TBC

jengo la startimes ndo moto ulikoanzia umefika mpaka majengo ya tbc nimepita nusu saa iliyopita nimeona kwa macho
 
nataka liungue jengo lote na mitambvo yote ya CCM, anyway who cares about TBC Magamba? Nataka sana na Magogoni kuungue
 
Acha lilipuke..tena kama vipi lilipuke na kuunguza ofisi za star times, kwani wameanza ufisadi.
 
Hivi jamani halijaisha mpaka sasa hivi?
Nataka nijekuokota vyuma chakavu!
 
Hivi hamjui mitambo ya tbccm na startimes ni ya kichina? Sasa unategemea nini? Niliwahi kununua laptop ya kichina, ikaungua. Nikanunua dvd player ya kichina nayo ikaungua, tiivii, sub woofer zote zikaungua. Mie sishangai hilo transfoma likiungua. Hata hayo majengo ni ya kichina ndo maana yameungua. Watch out hata hivo ving'amuzi vinaweza kuanza kuungua!
 
Kweli malipo ni duniani. Mizimu ya Tido yanaanza kuwatafuna. Yataungua yote.
 
Back
Top Bottom