Transfer Window updates 2013/2014 season - Europe

Transfer Window updates 2013/2014 season - Europe

Mkuu mwenyewe kakubali ajiunge bt timu yake na dau bado halijafika kule, pia ManU nao wameonesha interest ya kumchukua huyu jamaa at last min...hiyo habari yako ni ya zaidi masaa 5 nyuma...haipo confirmed, hata kama amesha-undergo 2 medical check-up, germany na uswis but mpaka aishike jezi ya emirates ndipo nitaamini...manake nitarefresh pages mpaka saa 5 dirisha litakapofungwa rasmi...!! REfer transfer ya Suarez kwenda arsenal, mwenyewe alikubali kabisa bt finally...patupu

...true. ni vizuri kusubiri iandikwe kwenye Gazeti la spoti
 
Fellaini jioni hii amewasilisha rasmi ombi la kuhamia timu ingine,
 
goal.com sometimes mizinguo, kwa mfano wao wanaonyesha Gareth Bale kasajiliwa kwa paund 100m while super sports wanaonyesha ni paund 86m. Na hii 86 ndo sahihi.
 
Hull have agreed a club record fee in the region of £5m for West Brom strikerShane Long. He is undergoing a medical at the moment but any deal is subject to the Albion adding Stephane Sessegnon or Victor Anichebe.
 
Marouane Fellaini tayari amewasilisha barua ya kutaka kuhama Everton, na ameondoka klabuni hapo kwa kutimua vumbi. hatarajiwi kutia mguu tena.
 
Chelsea wanagoma kumwachia Demba Ba kwenda timu yoyote iliyomo kwenye nne bora. Anaweza kuangukia Westham.
 
Manchester United have seen a bid of €40m for Sami Khedirarejected by Real Madrid, making the Germany international approximately the 612th La Liga midfielder that United have failed to sign this summer.
"On that subject, there's still no word on whether the Ander Herrera deal will go through, with the issue believed to be tax payments that would be triggered if United meet the €36m buy-out clause for the Athletic Bilbao midfielder. Could be a very late one.
 
Marouane Fellaini tayari amewasilisha barua ya kutaka kuhama Everton, na ameondoka klabuni hapo kwa kutimua vumbi. hatarajiwi kutia mguu tena.

"Scanning cars for Belgian number plates outside Manchester United's training ground. This now feels like being on a stakeout."
 
mshambuliaji kinda Romelu Lukaku huenda akaamkia EVERTON kesho asubuhi kwa mkopo wa msimu mmoja.mmoja Everton watatoa £3m.
... huko kwao Belgium habari ni kwamba Lukaku tayari AMESHATUA Everton.
 
goal.com sometimes mizinguo, kwa mfano wao wanaonyesha Gareth Bale kasajiliwa kwa paund 100m while super sports wanaonyesha ni paund 86m. Na hii 86 ndo sahihi.

Umechanganya mkuu sio paundi mil 100 ni Euro mil 100 ambayo ni sawa na paundi mil 86
 
Marouane Fellaini tayari amewasilisha barua ya kutaka kuhama Everton, na ameondoka klabuni hapo kwa kutimua vumbi. hatarajiwi kutia mguu tena.

Sijui ni kwanini ma manager wengi wa timu kubwa za Ulaya hususan wanapenda kufanya usajili dakika za lala salama tena masaa 24 ya mwisho kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajili.

Sasa kama Wenger anatoa paundi 42 milioni kumnunua Mesut Ozil dakika za lala salama wakati kwa pesa hiyo angeweza kufanya biashara kwa utulivu kabisa kama angekuwa serious tangu mwanzo.
 
Wigan confirm that loan signing of Nick Powell from Manchester United. The 19-year-old ex-Crewe man will stay with the Latics all season.
 
goal.com sometimes mizinguo, kwa mfano wao wanaonyesha Gareth Bale kasajiliwa kwa paund 100m while super sports wanaonyesha ni paund 86m. Na hii 86 ndo sahihi.

Mkuu madrid tv wamekataa usiku huu kua usajiri wa Bale umevunja rekod japo awajasema bei yake
 
Kiungo na beki wa kushoto Benoit Assou-Ekotto ametua QPR kwa mkopo.
 
Nani kumchukua di maria?ni vita kali kati ya liverpool,arsenal na man u..
 
Mpks sasa wenger ajafanya usajiri wowote uliothbtika tofauti na loan deal ya viviano about ozil tusishangae akiamkia PSG manake jamaa wanamtamani kinomanoma.uingereza kodi kubwa, wachezaji wanapaogpa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom