Transfer Window updates 2013/2014 season - Europe

Transfer Window updates 2013/2014 season - Europe

Fabio Borini ameondoka Liverpool na kutua Sundeland kwa mkopo.
 
hadi sasa zaidi ya £520m zimeshatumika kwenye dirisha la usajili EPL.
 
Sijui ni kwanini ma manager wengi wa timu kubwa za Ulaya hususan wanapenda kufanya usajili dakika za lala salama tena masaa 24 ya mwisho kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajili.

Sasa kama Wenger anatoa paundi 42 milioni kumnunua Mesut Ozil dakika za lala salama wakati kwa pesa hiyo angeweza kufanya biashara kwa utulivu kabisa kama angekuwa serious tangu mwanzo.

This is so called "Delaying Tactics"...just shocking news mzee
 
Mesut Ozil sasa RASMI Arsenal. Mkataba wa miaka 5.
- Ozil sasa anakuwa Mchezaji ghali zaidi kutoka Ujerumani.
- Ozil anakuwa Mchezaji ghali zaidi kununuliwa na Arsenal.

View attachment 110291
 
Kiungo mshambuliaji kutoka Benin Stephane Sessegnon ameondoka Sunderland na kutua Westbrom kwa dau la £5.5m.

sessegnon.jpg
 
... zimebaki dk 19 dirisha kufungwa. Zaidi ya £570m zimeshatumika dirishani. Hii ni rekodi mpya ya EPL.
 
2 SEPTEMBER
Morgan Amalfitano [Marseille - West Brom] Loan
Marko Arnautovic [Werder Bremen - Stoke]
Undisclosed
Barry Bannan [Aston Villa - Crystal Palace]
Undisclosed
Hamza Bencherif [Notts County - Plymouth] Free
Fabio Borini [Liverpool - Sunderland] Loan
Harry Bunn [Manchester City - Sheffield United]
Loan
Paul Caddis [Swindon - Birmingham]
Undisclosed
Raphael Calvet [Auxerre - Brentford] Undisclosed
Lee Camp [Norwich - West Brom] Free
Graham Cummins [Preston - Rochdale] Loan
Florent Cuvelier [Stoke - Sheffield United]
Undisclosed
Andrea Dossena [Napoli - Sunderland]
Undisclosed
Liam Fontaine [Bristol City - Yeovil] Loan
Danny Green [Charlton - MK Dons] Loan
Tiago Ilori [Sporting Lisbon - Liverpool] £7m
Stephen Ireland [Aston Villa - Stoke] Loan
Brian Jensen [Burnley - Bury] Free
Kaka [Real Madrid - AC Milan] Free
Libor Kozak [Lazio - Aston Villa] £7m
Genseric Kusunga [FC Basel - Oldham] Free
Adrian Mariappa [Reading - Crystal Palace]
Undisclosed
Emmanuel Mayuka [Southampton - Sochaux]
Loan
Stephen McLaughlin [Nottingham Forest - Bristol
City] Loan
Victor Moses [Chelsea - Liverpool] Loan
Dany N'Guessan [Millwall - Swindon] Free
David Noble [Rotherham - Cheltenham] Loan
James O'Connor [Derby - Bristol City] Loan
Peter Odemwingie [West Brom - Cardiff] £2.25m
Bradley Orr [Blackburn - Blackpool] Loan
Mesut Ozil [Real Madrid - Arsenal] £42.4m
Daniel Pacheco [Liverpool - AD Alcorcon]
Undisclosed
Nick Powell [Manchester United - Wigan] Loan
Peter Ramage [Crystal Palace - Barnsley] Loan
Abdul Razak [Manchester City - Anzhi
Makhachkala] Loan
Jamie Reckord [Wolves - Plymouth] Loan
Bradley Reid [Wrexham - Wolves] £200,000
(reported)
Mamadou Sakho [Paris St-Germain - Liverpool]
£18m
Jayden Stockley [Bournemouth - Leyton Orient]
Loan
Conor Townsend [Hull - Carlisle] Loan
Marcello Trotta [Fulham - Brentford] Loan
Alvaro Vazquez [Getafe - Swansea] Loan
Emiliano Viviano [Palmero - Arsenal] Loan
Cauley Woodrow [Fulham - Southend] Loan
1 SEPTEMBER
Christian Atsu [Porto - Chelsea] £3.5m
Christian Atsu [Chelsea - Vitesse Arnhem] Loan
Gareth Bale [Tottenham - Real Madrid] £85.3m
Martin Demichelis [Atletico Madrid - Manchester
City] £4.2m
Jack Hunt [Huddersfield - Crystal Palace]
Undisclosed
Jimmy Kebe [Reading - Crystal Palace]
Undisclosed
 
ManUtd sasa wameelekeza nguvu zao kwa Sami Khedira wa Real Madrid kwa dau la £34m
 
Dirisha limefungwa rasmi. Sasa ni kupokea taarifa za mikataba mingine iliyofanikiwa kupenya.
 
Hatimaye Marouane Fellaini ametua ManUtd kutoka Everton kwa dau la £27.5m
 
Everton and Manchester United agree £27.5m deal for Marouane Fellaini The window has closed but Sportsmail understands Everton and Manchester United have agreed a £27.5m deal for the transfer of Marouane Fellaini to Old Trafford



 
23:11-The-Daily Mail-suggest the-Marouane Fellaini-deal is done for £27.5million but no confirmation from the Reds yet. The BBC claim a late loan bid to sign Real Madrid's-Fabio Coentrao-was launched but do not know the outcome.
 
Mlinzi Fabio Contreao (25) wa Real Madrid AMESHINDWA kutua ManUtd kwa mkopo.
 
Mshambuliaji kinda Romelu Lukaku (20) ameondoka tena, amehamia Everton kwa mkopo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom