Transfer Window updates 2013/2014 season - Europe

Transfer Window updates 2013/2014 season - Europe

...baada ya kumpata Mesut Ozil, Wenger amekamilisha uhamisho wa kipa Emiliano Viviano (27) kwa mkopo kutoka Palermo. Viviano anadakia pia timu ya taifa ya Italia.
 
Mshambuliaji wa Chelsea Demba Ba (28) anakamilisha mazungumzo ya kuhamia Arsenal kwa mkopo. Chelsea wanataka £2m kumwachia.

demba-ba.jpg
 
Juan Mata (25) naye akitua Arsenal ataonekana hivi:
Mata.jpg
 
ManUtd nao wapo bize kumsajili 'mtu' ila hawataki wapambe wamjue hadi mambo yatakapokamilika ....
secret.jpg
 
...baada ya kumpata Mesut Ozil, Wenger amekamilisha uhamisho wa kipa Emiliano Viviano (27) kwa mkopo kutoka Palermo. Viviano anadakia pia timu ya taifa ya Italia.

maskini ozil katia huruma kwa kuchagua timu ya arsenal ambayo mda wote miaka nenda rudi hupigania kuwemo kt top 4 na c kupigani ubingwa,
 
Official: Mesut Ozil has sealed a spectacular €47 million move to Arsenal after signing a five-year contract.
 
Kheeee kuns hiyo post ya maurinho yaani huyo ndo kalewa ulanzi kabisa
 
Official: Mesut Ozil has sealed a spectacular €47 million move to Arsenal after signing a five-year contract.

Habari za goal.com hatuzihitaji...coz itsnot official news!! Mara nyingi wanachemkaga hawa jamaa...is Not Official source of News et all
 
maskini ozil katia huruma kwa kuchagua timu ya arsenal ambayo mda wote miaka nenda rudi hupigania kuwemo kt top 4 na c kupigani ubingwa,

Duniani kuna watu wenye mitazamo tofauti. Aina mbili kuu ni hizi:
1. Wapo wale wenye akili nyepesi (simple minded) - hawa mara nyingi hukimbilia kule ambako tayari watu wengine wameshasababisha mafinikio. Mashabiki wengi wa ManUtd wana mtazamo huu. Ukienda Tanzania utawakuta kibao.
2. Wapo wale wenye akili tough (tough minded) - hawa mara nyingi hupenda kusababisha mafanikio. Mashabiki wengi wa Arsenal wana mtazamo huu. Ukienda Kenya, Nigeria, Rwanda utawakuta kibao.

... chukua hiyo, ifanyie utafiti, halafu ifanyie kazi.
 
Mkuu mwenyewe kakubali ajiunge bt timu yake na dau bado halijafika kule, pia ManU nao wameonesha interest ya kumchukua huyu jamaa at last min...hiyo habari yako ni ya zaidi masaa 5 nyuma...haipo confirmed, hata kama amesha-undergo 2 medical check-up, germany na uswis but mpaka aishike jezi ya emirates ndipo nitaamini...manake nitarefresh pages mpaka saa 5 dirisha litakapofungwa rasmi...!! REfer transfer ya Suarez kwenda arsenal, mwenyewe alikubali kabisa bt finally...patupu
 
Habari za goal.com hatuzihitaji...coz itsnot official news!! Mara nyingi wanachemkaga hawa jamaa...is Not Official source of News et all

goal.com zamani walikuwa wanachukua habari tokea kwenye forum yao kishawanaitoa.. so habari zao nzuri ni matokeo tu na kingine subiri official news mkuu wangu..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom