Monaco ni radamel falcao....sidhani kama moyes anamwezaKocha David Moyes amepewa kitita cha £150m kwa ajili ya usajili katika dirisha dogo. Tayari mshambuliaji wa Monaco Edinson Cavani anatarajiwa kutua Old Trafford Januari hii.
pia, Adam Lallana, Ross Barkley na engine kibao watamwagiwa 'mtama' ndani ya wiki mbili zilizobaki.